Recent content by Shadrack Bituro

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi

    Watafute hawa watu Reliable house maid company 0746 216 937. Wako arusha mimi wamenisahidia sina stress na maid kabisa kwa sasa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete azungumzia kauli za Magufuli kuikosoa Serikali

    Nashangazwa na kauli za viongozi wa Serikali ya CCM Tanzania Bara na Visiwani, wanasema tukichaguliwa kuongoza tena tutaleta maisha bora kwa watanzania na tutaijenga Tanzania mpya. Swali langu ni; Je, kwanini mmeshindwa nini kufana huko nyuma zaidi ya miaka 50? Lakini kwani si bado mnaongoza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama uchaguzi ni mikusanyiko Lowassa atashinda, kama ni kujieleza Magufuli atashinda

    Magufuli anajenga hoja.mmh sina hakika ukweli kama zile ni hoja lbda kwavile naichukia thithiem.mi lowassa hata akipunga mkono na kukaa kura yangu kapata.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

    Atasikikaje wakati vyombo vyote vya habari vimelipiwa na utaratibu mzima unaratibiwa na THITHIEM?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya Tembo

    Duuh.mi ndo nimehamia nimetoka CCM leo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Tumsamehe na kumuombea Mungu amhurumie ampe upeo.tusimuombee mabaya hatuta kua natofauti na yeye Mungu atakutana nae kwa namna yake.Tumpende tu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Star TV waogopa kuonyesha mafuriko Tanga

    Ndugu mi nimeshangaa asubuhi clauds tv taharifa ya zomea zomea ya mbeya jana haijasomwa ila nyngine zimesomwa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Lbda ndio siasa inataka maneno hayo ili uonekane mwamba na mjuaji na mkomavu ktk siasa.ila nasema tusipo tubu tutaadhibiwa kwa maneno yetu.Naa.ngalia mtu huyu asiye wajibu anaumiaje maneno haya?Nape my brother najua utapita hapa plz umekosea nafsi yako inakuhukumu fanya toba.NAIPENDA TANZANIA...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Sio vizuri kumuita mwanadamu mwenzio maiti wakati ni mzima et kwasababu ya siasa ndio ipelekee maneno hayo.nijambo baya mimi imeniuma sana.
Back
Top Bottom