Hizi hapa dondoo 15 muhimu za kuzingatia dhidi ya propaganda hasi kwa bandari ya DSM
1. Magati yote 12 pamoja na maeneo ya kuhudumia shehena za mafuta yanahudumia meli hadi kufikia muda huu wa leo tarehe 28 Januari 2024, tofauti na wapotoshaji wanaoposha kwa makusudi kuwa ni magati mawili (2)...
ameeleweka kiwepesi sana kuliko ugumu unaotaka kujaribu kuuleta
in short nilivyoelewa ni kama tunavyosubiriana tu dukani kwa mangi kuhudumiwa nyakati zenye wateja wengi, wala haimaanishi mangi ni dhaifu au mzembe bali ni wateja tumekutana katika eneo moja kwa wakati mmoja. wacha tuendelee kujifunza
Minafikiri ni hatua kubwa inapigwa ukilinganisha na huko tulipotoka na hii inatokana na Rais wetu kuwa firm kwenye suala la bandari na kuchukua hatua mbalimbali. Tukijipanga kwenye bandari tu hii nchi inafika lengo lake la kuwafikia uchumi wa kati na nnaposema bandari simaanishi ile ya Dar es...
Huwezi kuvunja credibility ya habari sababu wewe una personal grievance na gazeti. Kama waandishi wamekwenda na kumuhoji mkurugenzi na akawapa hizo data misioni tatizo hapo.
RAIS John Magufuli amemwagiza Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Issack Kamwelwe kutangaza zabuni haraka kwa ajili ya kupatikana kivuko kipya cha Ukara.
Hatua hiyo inakuja baada ya Kivuko cha MV Nyerere, kinachotoa huduma katika kisiwa hicho kilichoko katika Ziwa Victoria...
Wenye watoto wa mjini wanasema, kwa mara ya kwanza chama kikubwa cha upinzani kinatumia phrase "Kama unaushahidi " nafikiri nitoo embarrassing....
TANGANYIKA HURU: Utafiti Wambeba Magufuli Urais 2015
Standard Chartered ilikuwa na imani kuwa baada ya kununua deni la Mechmar ndani ya IPTL, ingekuwa rahisi kupata fedha zilizowekwa kwenye akaunti ya Escrow ambayo sasa inabishaniwa. Fedha za Escrow zilipolipwa kwa wahusika wa IPTL, Standard Chartered ikajikuta ikiwa njia panda, haijui madeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.