Recent content by shabtom

  1. shabtom

    Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

    Acheni ku trade forex fanyeni binary Option Trading. Tembelea YouTube channel Tanzanian trader. Mpate maarifa ya binary.
  2. shabtom

    Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

    Broker mzuri wa binary Option Trading ni @. Olymp trade 2. Deriv 3. Iq option 4. Quotex
  3. shabtom

    Partners: Kama una mtaji naomba tufanye hii biashara

    Hii biashara ni ya kawaida. Ili uweke pesa Kwa broker unahitaji wakala kama wakala wa mpesa, online Kuna mawakala wanaokutumia mtandaooni hivyo Kila wakala ana Bei gake
  4. shabtom

    Mnaonunua Alibaba na Aliexpress; Je, washaanza kutuma bidhaa baada ya corona?

    Nenda ofisi za post mzigo wako utakuwa umefika zamani, lakini pia tumia ile namba ya mzigo ku track mzigo ulipo
  5. shabtom

    M-Pesa Mastercard inazingua Alibaba

    Mpesa masters card ipo vizuri kwenye kufanya malipo alibaba, mi huwa naitumia kufanya malipo ni kitu cha dakika tano unakuwa umemaliza kazi. Jaribu kuwasiliana na voda kujua kama line yako haina shida yoyote. ila mpesa master card inafanya malipo kwa haraka sana.
  6. shabtom

    Mnaonunua Alibaba na Aliexpress; Je, washaanza kutuma bidhaa baada ya corona?

    hata mimi nimenunua mzigo aliexpress tangu mwezi wa pili mzigo haujafika. na nimara yangu ya kwanza, naomba kuuliza hivi mizigo ikifika naichukulia wapi?
Back
Top Bottom