Mwandishi, Shabani Shabani.
Shabanishabani3@gmail.com/0758321964.
CCM ILIPOTOKA (HISTORIA).
Kikao cha pamoja cha Halmashauri Kuu ya Tanganyika African Nation Union (TANU) chama cha siasa kutoka Tanganyika na Afro Shirazi Party (ASP) Chama cha siasa kutoka Zanzibar, Kikao kilichoketi Dar es...
Hii ndio CCM ambayo imedhubutu kufanya ukaguzi wa mali zake, kuziainisha na kuzisimamia kwa manufaa makubwa ya Chama na Wanachama.
Hii ndio CCM ambayo imepunguza kwa asilimia kubwa rushwa kwenye Chaguzi ndani ya Chama chenyewe kwa kusimamia vizuri michakato ya kuwapata viongozi hata wasionacho...
Tangu 1961 tulipopata uhuru hadi 2016 tulikuwa na vituo vya afya nchi 115 nchi nzima, Katika Mwaka wa fedha 2017/ 2018 pekee Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli imejenga vituo vya afya vyevye uwezo wa kufanya upasuaji 208.
Tubishane yote kuhusu Serikali hii ila sio suala la maendeleo
*Ni...
Binafsi kwanza umesema umeambiwa, hivyo yote uliyozungumza ni tetesi tu hazina ukweli, kiongozi lazima utofautishe Kati ya fact na opinion zako. Lakini ni ukweli mtu akisoma vizuri andiko lako linaonyesha kuyumba kwako maadhaifu yote ya tetesi uliyoanisha sio makosa ya kujitakia mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.