Recent content by shabani malima

  1. S

    JamiiForums Tanzania Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

    Lowasa hawezi kuwa raisi tuacheni ushabiki jamani tusifanye mchezo na uraisi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Twendeni na pinda 2015
  3. S

    JamiiForums Tanzania Pinda, kuwa muungwana na jasiri ujiuzulu

    Pinda hapaswi kujiuzulu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Mnec wa arusha mjini ameisaidia sana ccm ameitumia nafasi yake kwa umakini kwa ushindi ccm uliopata umechangia kwa kiasi kikubwa sana ukizingatia na ukata wa pesa waliokuwa nayo unaitaji pongezi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa afanya Propaganda kwenye media eti kashinda 100%

    Pinda ndio raisi wa Tanzania
  6. S

    JamiiForums Tanzania Pinda rais 2015?

    Pinda 2015 ndo president
  7. S

    JamiiForums Tanzania Pinda rais 2015?

    Jamani pinda ndio chaguo sahii kabisa ni raisi ajae jaman kwa ilo mnapaswa kukubaliana na ilo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Lowassa kunani tena?

    Jamani mnajipigia jita wenyewe na kucheza wenyewe pinda ndio chaguo sahihi kwa watanzania
  9. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe akalia kuti kavu Mwanga

    Jamani anaejua dc anaetoka mwanga watujuze jamani
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mizengwe pinda kayanza hekima na busara zimemtawala.

    Binda akipata uraisi 2015 nchi itakuwa na neema kikwete usikose kwa ilo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    swala lipo mahakamani kuwa na akili
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    hawatakiwi wahachwe hawa waelezwe ukweli kama nape ,mwigulu walivyowaeleza ukweli bila kubahatisha kama wanaukweli kwa masilahi ya taifa waweke mezani
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    pole sana mi nilikuwa chadema kwa staili niliona hapo kwenye mlipuko hakuna kiongozi anaefaa wachadema ambae ni mzalendo hata kidogo mbowe na wezake ni wahaini
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    mbowe kuna mahafa hata kusaidia kuwabeba majeruhi alishindwa na lema pia mbowe amekia akitengenezea miwani vizuri na lema akishika box la pesa kwa umakini uzalendo upo wapi hapo jamani wamebaki wakisema ushahidi tunao amna ushahidi hapo ni uhuni tupu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Mimi ni chadema lakini kwa stail hii apana wamefika mbali siitaji tena kuwa na chama hicho chama cha wasijali utaifa chama cha wahuni chama cha majuaha wasiokuwa na hata chembe ya huruma mioni mwao MWIGULU UMEWAFUA NGUO KINA MBOWE NA WENZAKE
Back
Top Bottom