Mizengwe pinda kayanza hekima na busara zimemtawala.

Mizengwe pinda kayanza hekima na busara zimemtawala.

karazai

Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
24
Reaction score
3
Watanzania wengi wanaamini waziri mkuu wasasa mtoto wa mkulima mizengwe pinda kayanza ndie atakuwa mrithi wa kikwete kwa taarifa za wakulima wengi wa Tanzania na wafanyakazi hii imejidhirisha kutokana na uwezo wake wa kutoa maamuzi yaliosahii .
 
Hivi mimi na shangaa kitu kimoja hao watu mnawaogopa nini hakuna police hapo. Ama bado mnakarabati magereza
 
Pinda Ameonyesha kupwaya Sana ..ni AJABU MAWAZIRI hawaendi Bungeni ..waziri mmoja anajibu maswali ya hadi wizara Tano ...inaonyesha hawa inaonekana hatamuheshimu pm ..
Ni muhimu waziri Mkuu awe na ushawishi kwa MAWAZIRI na wabunge ili ajenda Za Nchi ziende.

Umeonekana kabisa udhaifu Huo Ndio unafanya kila panapokuwa na jambo Zito inambidi Rais awe Dodoma kutuliza Hali pengine JK angekuwapo angemsaidia Pinda kudhibiti Hali .

Pia kwa jicho lingine kipindi Hiki JK hayupo ulikuwa Ndio Wakati muafaka kwa Pinda kudhibitishi umma kuwa anaweza kuwa Rais ...Sasa UKIANGALIA anavyo manage escrow ....Huku Huko Kiteto na Siha wakulima ,wafugaji na Wawekezaji wanapambana..hadi kufikia Naibu Spika ..kutaka kauli yake ..ni wazi kuwa ameshindwa kutumia kutokuwepo kwa Rais kuonyesha uwezo wake kwa Hali ya Juu

Ikumbukwe kuna Wakati Mkapa aliwahi kukaa nje mwaka mzima anaugua..Nchi akamwachia Sumaye na Shein ...hatukuona KUYUMBA Huku
 
Watanzania wengi wanaamini waziri mkuu wasasa mtoto wa mkulima mizengwe pinda kayanza ndie atakuwa mrithi wa kikwete kwa taarifa za wakulima wengi wa Tanzania na wafanyakazi hii imejidhirisha kutokana na uwezo wake wa kutoa maamuzi yaliosahii .

Hekima na busara zikipitiliza, inakuwa kero!
 
Pinda ni shuja na mvumilivu tunaitji viongozi kama hao wanamaamuzi yakuokoa nchi na yalio sahii keep it mzee
 
Ur too sick mentally...i am hoping your brain is zeroing to DEAD....very limited O2 is going to the sensory nerves

Special advice....Go and get OMEGA 3 rich foods to help u out....!!!


Few days ahead UTATEMBEA UCHI...!!!



Watanzania wengi wanaamini waziri mkuu wasasa mtoto wa mkulima mizengwe pinda kayanza ndie atakuwa mrithi wa kikwete kwa taarifa za wakulima wengi wa Tanzania na wafanyakazi hii imejidhirisha kutokana na uwezo wake wa kutoa maamuzi yaliosahii .
 
Kuna watu hapa ni janga la kitaifa...akiwemo mleta mada na pro-pinda mizengo kayanza peter
 
Tanzania!!?? ....kama JK ameweza tena vipindi viwili Pinda atashindwaje!?
 
Hahahhahhahahahhaha pilot jaziba yanini pumzika pinda watanzania wanampenda sana unapoongea jipange hhhhaahhaha
 
Back
Top Bottom