Recent content by Shaaban Makinda

  1. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kna ndg yng m1 ypo wilaya ya buhigwe-kgm anatafuta m2 wa kubadlishana nae aliopo wilaya ya kasulu,kgoma dc au urambo mwye no. za cm 0762420477/0655430477
  2. S

    Walimu wapya jiungeni hapa tufanye revolution

    jamaa aombewe,kawaulize wakuu wa maandano ya madaktar na jkt kilichowakuta! ww utatupiliwa ktk mapori ya msata we leta wenge tu......
  3. S

    Tamko la katibu mkuu tamisemi likua la kuondoa utata kweli?

    daah,kweli wana mmefika mbali vuta subra kdogo hata bwn Jumanne Sagin anajua km leo ndo trh 25 hvo tungoje hadi sa kumi jion! In Shaa Allah!
  4. S

    TAMISEMI kuachia mzigo usiku

    subirini walimu mtandao unasumbua baada ya muda mfupi kuansia sasa mambo yataenda sawia-tunalishughlkia hlo msiwaze!!!!
  5. S

    Kujiendeleza kielimu kwa mwalimu kazini kwa masomo ya Jiografia na Hisabati

    Wadau, Kkuna jamaa yangu ni mwalimu tayari anataka kujiendeleza lakini anataka asome masomo ya Hisabati na Jografia chuo kikuu bila ya kuwa na nyongeza ya somo lolote. Vipi, atumie mbinu gani ili afanikiwe? Na ni mwalimu wa primary hivyo hataki kufanya mtihani wa 4m six anataka asome...
  6. S

    Kujiendeleza kielimu kwa mwalimu kazini kwa masomo ya Jiografia na Hisabati

    [I]Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu tayari lkn anataka kujiendeleza lkn anataka asome masomo ya hisabati na jografia chuo kikuu bila ya kuwa na nyongeza ya somo lolote ,vp atumie mbnu gn ili afanikiwe? na ni mwlm wa primary hvo htaki kufanya mtihan wa 4m six anataka asome foundation ya mwka1 ya...
  7. S

    Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

    ndo mana c watu km hawa hukatwa vchwa vyao halafu mwsho wa cku mnasema eti nmagaid...nadhan mnakumbka issue ya charlie hebdo huko france, wacha wafanye watakavyo c uhuru wa kujieleza!!!!
  8. S

    Hizi ndizo sifa za mwanaume rijali, soma ili ujue upo kundi gani

    ila mi naona bora ukimbiwe na mke kwa kumsugua vilivyo huleta heshma kuliko kukimbiwa na mke kwa kumgusa tu hujenga dharau......n mawazo tu
  9. S

    Walimu wote kupangiwa vijijini

    jombaaa nn tna ?wadhan majaliwa atapiga azwear?
  10. S

    Ajira za walimu tarehe 1 May 2015

    kweli hki ndo kilichokuwa kikisubiriwa daily mana vjana (walimu) tarajali walikuwa wameshachoka!
  11. S

    Hatimaye serikali kuajiri walimu 34000 Mwezi huu April 2015

    sisi tnapita tu nyinyi endeleeni kujipa moyo na wengne endeleeni kponda nafkiri hatma ni wiki ijayo wadau#
  12. S

    Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    mi cdhani kma kna tatizo kwani sheria hio imetungwa ila mchakato haujamalizka kwn unatarajiwa kujadiliwa ili kufanya editing panapohitajka........c unajua ya mwanadamu hayakos kasoro najua kubananga hakutakosekana wadau hvo vumilieni,ndo hali hlisi ya nchi kama hzi!
Back
Top Bottom