Recent content by Sha Makala

  1. S

    JamiiForums Tanzania Siwezi kumzungumzia Kinana si saizi yangu Dk slaa

    Slaa mara kadhaa amemjibu Mwigulu. Kumbe huyo ndio saizi yake.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Heko Dr. Kitila Mkumbo kwa kazi ya siasa jimboni Iramba Magharibi

    Siku moja baada ya matokeo ya uchaguzi wa vijiji 8 Iramba ambapo CCM imeshinda vijiji vyote 8 na vitongoji vyote 30 iramba. Hali hiyo imemshtua dr kitila nakusema hajawahi kutamka kuwa atagombea na hana nia hiyo. " Mimi nilikuwa na amsha watu tu siji kugombea nina kazi yangu nzuri" waacheni...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Iramba waja na Operation Chakaza Mkumbo(OCM)

    Ndio maana kinkungu pale kata ya nyumbani kwa kitila ccm 404 chadomo 88. Iramba wameamua
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vigogo wapya wa urais 2015

    Sisi tulishasema RAIS ANAYEFAA NI KIJANA WA KAZI MWIGULU NCHEMBA
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yagaragazwa vibaya Iramba,CCM yachukua vijiji vyote

    Nimewahi kuwambia mwigulu anapendwa sana iramba. Kitendo cha vijiji vyote 8 kwenda ccm na vitongoji vyote 30 kwenda ccm inaonesha jamaa anavyopendwa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Heko Dr. Kitila Mkumbo kwa kazi ya siasa jimboni Iramba Magharibi

    Hamna kitu kule chadema haiwezi. Imepigwa vijiji vyote 8
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

    Mwigulu anapendwa sana
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Saaafi sana kiongozi. Umesomeka
  9. S

    JamiiForums Tanzania Membe kugombea urais mwaka 2015 iwapo...

    Kwa sisi Iramba Rais ni MWIGULU TU
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

    Duh ila CCM wakimsimamisha MWIGULU NCHEMBA vichaa dema vitalia machozi kama mtoto mdogo. Rais anakwenda kuapa MIMI, MWIGULU NCHEMBA, NAAPA KUWA ...... NA MAJUKUMU YA RAIS WA JAMHURI YA MUNGANO....... MUNGU NISAIDIE. HAAAAAAAAAA. CHADEMA HAPO WANATAFUTA UCHOCHORO KAMA PANYA
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

    Dr slaa hawezi kuwa Rais ata akisimamishwa Mwigulu Nchemba CCM.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Watatnzania tujitokeze kwa wingi kupiga kura 2015 tuing'oe CCM

    Ugonjwa mbaya kuliko wote tanzania ni akili zinazowaza uchaguzi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

    Kumbe ndiyo tabia yenu ya kuwa na account feki
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya MWIGULU KUPATA MKANDA WA VIDEO

    Mopiiimokonziiiiii umesemaukweli. Hii maada jamaa hawataki kuipita katikati wanaishia kulaumu aliyerekodi na aliyetuma kurekodi
Back
Top Bottom