Tunakopesha mitambo ya Zola kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mtambo mdogo wa taa kuanzia shilingi elfu 49 kianzio na kwa mwezi elfu 19 tupigie simu sasa popote ulipo unaletewa 06546-09122
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka je hiyo ni dalili ya nini naombeni mnisaidie
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumivu yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka, je hiyo ni dalili ya nini?
Naombeni mnisaidie
Mke wangu toka nifanye nae mapenzi hii ni wiki ya pili na nilifanya nae siku ya hatari ila leo kaingia kwenye hedhi maumIVU yalianza baada ya hapo damu nzito misili ya nyama nyama zikawa zinatoka je hiyo ni dalili ya nini naombeni mnisaidie
JE UNA ASSETS AMA LIABILITIES?
[emoji888] Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.
[emoji888] Liability ni kitu kinachotoa pesa mfukoni kwako.
[emoji1542]Ukitaka kuwa tajiri,hiki ndio assets na liabilities ndio kitu pekee unacho hitaji kukijua na kukifanyia...
INATIA HURUMA[emoji24]
Umemuomba akutumie picha ya utupu.
Akakuambia siwezi nauheshimu mwili wangu siwezi kufanya hicho kitu.
Ukambembeleza na kumsihi kwa maneno matamu yenye ulaghai.
Bado akakuambia kwamba anajipenda na kukupenda pia hawezi kufanya kitu kama hicho,akakuambia kama unashida ya...
Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na mama yao kwamba watakutunza. Wewe ndiye stranger pekee kwenye hiyo familia unayoiita ya kwako. Hiyo...
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi, dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa.
2. Tembea na keshi...
Aina za ndoa…
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!
2. NDOA YA MIHEMKO
Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka kati mume18 mke 16. Huvunjika baada ya miaka 3 au 4 ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.