Recent content by sgd 2

  1. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa picha za Nabii Tito

    Uhuru wakuabudu upo wapi!!!
  2. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda Nyumbani, bakini na Dar yenu

    Eti nasikiaga wachaga wanaoa wana waachia wake zao Baba siku ya kirisimasi wanakwenda kuona watoto nikweli?
  3. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Wacha tuviwekee vyuma grisiii viachie

    Na michepuko tuiwekee Gris?
  4. sgd 2

    JamiiForums Tanzania HIVI MWANAUME LIJALI KABISA UNALALAJE USINGIZI MNONO KIASI HIKI

    Baada yakazi usingizi unategemea nini?
  5. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Sisi wanaume bhana hata ukipewa huyu Mrembo bado utataka kuwa na mchepuko.. Tu

    Mrembo matatizo?
  6. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Faini Itapendeza

    [emoji38]
  7. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Breakfast murua

    Sijaona kiporo
  8. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Breakfast murua

    Bado mihogo
  9. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Nyau na "mkia" wake!

    Nyau anafaidi lifti
  10. sgd 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Pole sana mimi yolikwisha nikuta ulikuwa mchepuko wangu nahudumia kila kitu Kodi chakula nk, nikirudi kwakumshitukiza nikishika cm yake anachanyikiwa kabisa ndipo machale yalipo anza ikabidi nifuatilie nikakutana na mambo mazito nilicho fanya nikatoka nikamwachi funguo sikurudi tena sikuchukua...
  11. sgd 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chondechonde: Msioe Wanawake waliojichubua na Wanaovaa Mawigi, Mtajuta..!

    Nikweli kabisa
  12. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Kanga

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  13. sgd 2

    JamiiForums Tanzania Akihojiwa na DW, Nyalandu asema wengi wamo CCM wanatamani kukihama chama

    Kabila tuu ndio huwezi kulihama Sasa kuhama kwa nyalandu tatizo nini mbona mnawashwa washwa mwacheni aende atakako mimi siioni tatizo hayo nimaamuzi yake kila mtu ana mawazo yake wewe anglia yako mimi niangalie yangu na yeye anaangalia yake
Back
Top Bottom