Zitto kakaribishwa kwa shangwe na vigeregere,kwa kweli watu walikuwa wengi sana.waze wa heru juu walimvika nguo ya asili.kwakiha inaitwa mbuzu na kofia yake akapewa na mkuki.zitto kasema kuwa yeye ataendelea kuwatetea wanyonge wote bila kubaguwa ni mkoa gani.kwani yeye si mbunge wa kigoma tu,ni...
Baada ya dr.slaa kuparamia jukwa ,wanainchi wa kasulu kuka stand bye kwakumsikiliza,gafla mabango yakapandishwa hewani na vurugu kwasana.dr akawaomba wanainchi kutulia ili aweze kusoma mabango ilishindikana nahatimaye watu wasio fahamika wakaanza kurusha mawe,polisi hawakuchewa kurusha mabomu ya...
Ukisema zitto anauso mchafu,na pinda je,kwa maendeo kgm tunayo kwa sababu ya zitto.ataendelea kuwa kizito ndani ya chama.chadema bila zitto haiwezekani.
Zitto ataendelea kuwa kizito ndani ya chama kama jina lake lilivyo.wasijindanganye kuwa kigoma tutamtenga zitto wetu kwani katuletea maendeleo makubwa sana.kigoma bila zitto haikubaliki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.