Recent content by setumbijj

  1. S

    JamiiForums Tanzania Connection za China na Uturuki

    Jamani naombeni kujua kama kuna anayeelewa juu ya watu wanaofanya mawasiliano ya moja kwa moja viwandani China na Uturuki. Biashara hii imekuwa ikifanywa sana na watu siku hizi ambapo wananunua bidhaa kwa bei rahisi sana China kutoka kiwandani moja kwa moja. Ukiacha Aliexpress, Alibaba, Amazon...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Admission 2021/2022: Majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?

    kweli aisee NECTA Kuna changamoto ukiupload numba ya mtihan inagoma
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Yebo Yebo kipo maeneo gani Kisemvule?

    daah asant sana ndugu yangu..hata hivyo umenisaidia ramani,naamini nikifika nitauziwa kwa bei rahisi zaid kuliko kulangua kwa wachina k.koo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Yebo Yebo kipo maeneo gani Kisemvule?

    Jamani naomba kuuliza kinapopatikana kiwanda cha kutengeneza yebo yebo kwa Kisemvule. Nataka nianze kufanya biashara hiyo nikanunue nipeleke sehemu nikauze. Kwa mnaofahamu hata bei za jumla hapo tafadhali naomba mnisaidie, na mawasiliano pia.
Back
Top Bottom