Recent content by sethdias

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wafu walio hai na siri za kuzimu zilizofichwa kwenye ulimwengu wa roho

    Asante sana. Huu ndio ufahamu ninao utaka. Asante sana lakini nina swali moja zaidi: Ikiwa roho haihitaji ubongo ili kufikiri, kukumbuka na kutambua, kwa nini uharibifu wa sehemu mbalimbali za ubongo unaweza kubadilisha kabisa kumbukumbu, utu, lugha, hisia na hata utambulisho wa mtu? Je, hilo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wafu walio hai na siri za kuzimu zilizofichwa kwenye ulimwengu wa roho

    Technically, hakuna sehemu inayoitwa kuzimu. Ni sawa na tunavyoaminishwa kwamba kuna sehemu inaitwa jehanamu. Ukipata nafasi naomba utupe ufahamu mzuri juu ya haya maneno, jehenamu, kuzimu na paradise. Je, roho Huishi kwa muktadha up? Roho ni nini? Ina ufahamu? Utambuzi wa roho unatokana na nini...
  3. S

    JamiiForums Tanzania > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Naelewa sana boss. Nimehudhuria smina kuhusu cyber security na AI kibao ila sijaona dhambi kurahisisha kazi zangu kwa AI
  4. S

    JamiiForums Tanzania > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Kwa kweli, mimi kazi zangu hasa kubadilisha files, AI anamaliza. Na silipii.
  5. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

    Aisee, pole sana. Gaming Board, tunataka majibu ya hili suala kabla hamjachukuliwa hatua za kisheria.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nawatakia siku njema na yenye mafanikio

    Namshukuru Mungu nimeamka salama na tayari kwa majukumu ya siku mpya. Nawatakia siku njema na yenye mafanikio. Kama unapitia changamoto yoyote, iwe afya, uchumi, familia au vinginevyo, Basi, Mungu wa mbinguni akukumbuke katika hitaji lako. Yeremia 29:11 Siku njema,,!
Back
Top Bottom