Recent content by servants

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Hoja yako haina mashiko.... Tafakari tena ndio uje weka mifano ya namna upinzani unadidimiza uchumi kama sio serikali yenyewe na uongozi wake
  2. S

    JamiiForums Tanzania RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    Nimeliangalia jambo zima la kilichotokea ni pamoja na matamko ya baadhi ya viongozi wa hizi tasisi mbili za wahariri na clouds kwakweli wamejidhalilisha kama walijijua hawana misimamo na maamuzi kusengekuwa na haja kujitokeza na kufyatuka hadhalani wamemfanya makonda kuonekana shujaa kwakweli...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

    Kuna watz nashindwa kuwaelewa kila kitu mtu anataka kukijibu hata kwa hili la overspeaking kuna mtu anatoa mchango kuwa mbona Kenya na wao huwa wanasema this is foolish huyu kiongozi yeye ni mungu kuwa ukisema hapo kakosea kusema ina kuwa kama ni dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu nasema kama...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Usije Ukaona Watu Wajinga! , Hawajui Mafumbo.

    Sitoki leo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Naona jinsi lowasa anavyokuwa mbunifu kufanya siasa afrika mashariki I see this is the sign for 2020 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Rais pekee Afrika anayeweza kutembea na kuhutubia kwa muda mrefu

    Hotuba zake nazo zinachosha kila siku ni zile zile kuibiwa imekuwa wimbo wake amejuwa kuwa Tanzania inaibiwa Leo mbona hakuwahi kusema alipokuwa waziri wa ujenzi kwanza anatufanya watz kuonekana kulialia kila siku aongee mambo mengine kama hana akae kimya hata mashamba ya jkt ni kuibiwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wazi Fatma Karume kuangukia pua kwenye kesi ya madai ya bilioni moja

    Njaa mbaya sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya CHADEMA si nzuri kila kiki dhidi ya Rais Magufuli inagoma

    Nimependa creativity siasa za upinzani uwanaharakati kushoto saivi ni kufanya siasa kisomi mdogo mdogo watajibu mpaka majibu yatawaisha na ukiwa na akili utaielewa mikakati ya upinzani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Shauri la madai na. 143/2017 wabunge [8] na madiwani [2] wa CUF dhidi ya bodi ya wadhamini

    Haya ndio matokeo na mipango ya uchaguzi Zanzibar 2020 kuiua cuf Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom