Recent content by serio

  1. serio

    JamiiForums Tanzania Fursa za kuwekeza wilayani biharamulo, ardhi sio tatizo ,karibu

    Bei bado iko juu sana.
  2. serio

    JamiiForums Tanzania Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

    Duuuh
  3. serio

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    QD32 ziko vizuri sana. Reliable kama sio mtu wa mbio mbio
  4. serio

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza mashine za mbao

    Okay
  5. serio

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)

    Kwa haraka haraka mtaji kiasi gani unahitaji kuanzisha kituo cha hiyo gesi?
  6. serio

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Viwanja Chini ya Halmashauri.

    Vinwanja vinauzwa huko huko TAUSI.. process ya hati ndo iko nje ya TAUSI
  7. serio

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Hongera sana aisee.. nilijichanganya na ZD30 hakuna rangi sikuona mixer kuua turbo mara tatu.. Nika swap nikaweka QD32 mwaka wa tatu sasa nakula maisha..
  8. serio

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Ulifanikiwa kuishi na ipi? 😂😂 Au ulijichanganya ukapata nissan yenye ZD30??
  9. serio

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Mimi nilishanunua na sikupata shida.. ila niko mbali na halmashauri husika ambapo natakiwa kwenda kufanya process za hati
  10. serio

    JamiiForums Tanzania Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

    Kama haujasaliwa na VAT, aliyekupa kazi atakulipa kulingana na kazi yako nae Kama atakulipa bila VAT.. Utampa risit isiyo na VAT na yeye atakulipa bila VAT (kama umesajiliwa VAT, maana yake wewe ni wakala wa TRA kuisaidia kukusanya VAT) Your contract is still Valid usikimbilie VAT mzee kuna...
  11. serio

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Kuna aliyepata hati baada ya kununua kiwanja TAUSI?
  12. serio

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa viwanja kutumia mfumo wa Tausi

    Not possible..
Back
Top Bottom