Halafu mbona masimulizi hayaendani na vinavyoonekana? Mtunga stories hajafuzu kuandika script vizuri iendane na clips zinazorekodiwa wakati was igizo...
Ukisoma ushuhuda huu utagundua kuwa watu wengi waliobaki kama wanaCCM sio wanaCCM kweli kwasababu kinachowaweka ni maslahi binafsi na furs a za kuibia umma tu kunenepesha matumbo yao. Laiti kama ingekuwa CCM inajengwa kwa kujitolea kama wanaChadema ingeshakufa kitambo sana...
'Kuna jamaa...
Jambo moja tu la kuwawezesha watanzania was Arusha na maeneo mengine ya nchi kujitambua na kujua haki na wajibu wao katika kupigania stahili yao no mafanikio makubwa sana name mengineyo yanajileta yenyewe...
Upuuzi wa CCM uliolemaza watanzania kuwa ili uwe kiongozi inabidi unatoa hela zako...
CHADEMA party and its partner political parties of Civic United Front (CUF), NCCR-Mageuzi and NLDP have formed a partnership to rid the country of CCM pandemic.
Through our partnership (UKAWA) we are determined to restore Tanzanias lost glory. CHADEMA party and its friends are interested in...
Baada ya Rais was Rwanda Paul Kagame kuzuru Tanzania, sasa ni ZANU ya Rais mbabe wa Zimbabwe Robert Mugabe kuwa katika ardhi ya Tanzania naye kuzungumza.
Mugabe anatarajiwa kutoa hotuba katika kongamano la vijana wa Afrika ambapo inaelezwa takribani zaidi ya watu 400 watashiriki mkutano huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.