Suala la Richmond kurudi bungeni, naliona kwa mtazamo tofauti kidogo.
Kwanza imelenga kumsafisha EL, Kwasababu zipo tetesi kuwa toka awali mama Makinda aliposhawishiwa na kundi la EL kugombea uspika, nia ilikuwa ni kumpata mtu atakayeirudisha Richmond bungeni ili sitta , mwakiyembe na kundi lao...