Recent content by senzighe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

    Nyie acheni hizo,kwani huyo mlinzi anamjua Kimiti ?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Heche: Tumekaribia kukiondoa chama kilichotutesa kwa miaka 65 tangu Uhuru

    Ndugu wa karibu nadhani waanze kukaa karibu na Heche kwa ajili ya kumsitiri,asije akafikia hatua ya kuvua nguo hadhari akamwaga radhi. Kwa hii kauli wapendwa , muda wowote kuanzia sasa atakuwa mwehu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Video ya Rais akihutubia IPU ilikua ni AI

    Sasa wewe PWEGA, sisi tukusaidieje kama ile video ni AI.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mambo yanazidi kuongezeka ccm, Who is Next?

    Mbona siku nyingi hawa ni wanyama kabisa kasoro tu wamekosa mikia.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

    Ni lazima watende haki.Kutoa hukumu inayostahiki kwa mtu aliyeliingiza taifa katika fitna kubwa. Watu walikuwa wamekaa sawa na amani yao lakini maneno ya uchochezi, chuki na kibri cha hali ya juu,yakapelekea watu kuuana na uharibifu mkubwa wa mali za watu.Ulimi wake umeleta madhara makubwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho ya Tundu Lisu, leo 28.9.2026

    Confusion !
  7. S

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Nipo Kisutu Mahakamani, Polisi wanataka kunikamata. Naomba msaada

    Toto zima la kiumeni linaomba msaada kwenye twitter. Pambana ! Mwenzenu ana zaidi ya mwaka yumo ndani,wewe kutaka kukamatwa tu sasa tukusaidieje ? Yaani tuje hapo tuwaambie " Polisi jamani msimkamate Madeleka". Mkiwa kwenye anga zenu mnaupepeta kwelikweli na mnashangiliwa kama mawakili...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)

    In fact, siyo msafara wa mamba tu, hata msafara wa nguruwe, ngiri nao wapo wakishabikia jamaa yao akomae kukaa gerezani akisubiri tuzo ya EU. This is nonsense. Na ndiyo maana Heche atazipiga hela zenu mpaka mkomae akili.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kilicho mpata Heche kimethibitisha mahakama siyo mama yako!

    Mimi sikuamini macho yangu.Alikuwa kama panya aliyemwagiwa maji.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)

    Kushabikia vitu vya kijinga tu .Heshima ya juu ya Umoja wa Ulaya ndiyo nini ? Hata akipewa heshima ya Barakov, Lisu ni Lisu tu na heshima yake itabaki kuwa hapa Tanzania daima.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WanaCCM amkeni tupambane na state capture ya Wicknell Chivayo na Genge lake kwani ndio wanayeongoza Tanzania kwa sasa, Raisi ni Kivuli tu.

    Mbona hii simulizi inaonekana kama hadithi za Marehemu wa enzi za kale.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ameonekana kwenye Hitma ya Hafidh Ameir

    Maneno tu,ushahidi wa yeye kupelekewa begi la hela upo wapi? Kama kuna mtu aliyeona hapo sawa lakini kama ni Lisu mwenyewe anaema, nawaambieni hakuna mtu muongo katika siasa za upinzani kama Lisu.Halafu sasa hivi ndiyo atakuwa muongo kupindukia maanake kule kujichekeshachekesha pale...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Samia kaanza kuongea na Wanahabari wakati hajamaliza Eda! 🤔

    Domo refu kama chupa ,kazi umbeya tuuuuuuu!!!!!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ameonekana kwenye Hitma ya Hafidh Ameir

    Shangazi alijaaliwa kwenda kufanya ibada ya Hija aliporudi akawa amezaliwa upya.Hataki tena fitna zenu, majungu,uwongo,ubabaishi, wivu kwa watawala,uzandiki na upuuzi wa kila namna unaofanywa na upinzani wa kinafiki.Ameamua kuishi maisha yanayompendeza Muumba wake .Tena mwacheni na mkome.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Daktari aliyempiga Polisi usalama barabarani hajulikani alipo

    Hata Nchimbi alikuwa na watu nyuma yake ,wa Chadema, lakini haikufaa kitu!
Back
Top Bottom