Recent content by senseibreeze

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rugemalira, Luoga, escrow funds na Mkombozi Commercial Bank

    Kwanza niseme mimi ni mkatoliki mzuri sana kiongozi katika level za chini lakini pia msomi KIASI wa chu o kikuu.Ni aibu kubwa sana kwa benki ya kanisa kuingia katika kashfa ya aina hii.nnaamini wameskia kuwa kwa namna flani wamehusika na wizi huu wa iptl,kama hawahusiki wangecome out na kusema...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CV ya John Mnyika

    Mawazo kama haya ndo yatafanya nchi yetu iendelee kuwa maskini...wakati watu wanaenda mbele kwenye education etc wewe unashadadia viongozi wasio na cv ya maana.najua utabisha lakini ubishi wako kaa nao wala usijibu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Response To Accusations Against The British High Commissioner... confirms strong bilateral rel. W TZ

    Pasco na Mh Masele na wenzio wekeni facts mezani acheni siasa,kama mnasema Balozi ni jasusi tupeni facts if there are any...embasy imeweka facts zao kama mna evidence acheni maneno ya kijiweni....
  4. S

    JamiiForums Tanzania DIAMOND, WEMA Wachapana Makofi kisa Penzi la Diamond na Victoria Kimani

    Ingekuwa kijiji si flight MH370 isingepotea kabisa....
Back
Top Bottom