Tofauti ya kwanza ni katika content. BSc. Ed anapata content ndogo ya kozi za education ila BEd Sc. anakuwa na content kubwa ya kozi za education. Tuseme BEd Sc. Ame major education
Tofati ya pili ni malengo ya program. BSc.Ed inalenga kuwaandaa walimu ila BEd Sc. inalenga kuwaandaa wakufunzi...
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
OFFICE OF THE DEPUTY VICE CHANCELLOR - ACADEMIC
DIRECTORATE OF POSTGRADUATE STUDIES
ADMISSION INTO POSTGRADUATE PROGRAMMES FOR 2016/2017 ACADEMIC YEAR
The University of Dar es Salaam invites applications for admission into its postgraduate programmes for the 2016/2017...
Uongozi wa chuo cha kumbukumbu ya Mwal. Nyerere unaonekana kuwa ni moja ya jipu lililoiva linalosubiri kutunguliwa. Swala hili linadhihirika wazi pale ambapo bodi ya mikopo kutoa fedha hizo mapema kwa chuo Ila hadi sasa wanafunzi wa Mwaka wa kwanza hawajapewa fedha hizo na wakaendelea kuwa na...
Uongozi wa chuo cha kumbukumbu ya Mwal. Nyerere unaonekana kuwa ni moja ya jipu lililoiva linalosubiri kutunguliwa. Swala hili linadhihirika wazi pale ambapo bodi ya mikopo kutoa fedha hizo mapema kwa chuo Ila hadi sasa wanafunzi wa Mwaka wa kwanza hawajapewa fedha hizo na wakaendelea kuwa na...
LOWASSA MWIZI HADI LOWASSA WA UKAWA NA MABADILIKO NI SAWA NA SAULI MTESAJI HADI PAULO MHUBIRI INJILI
Kwa wale wasiotaka kuamini kuwa MTU mwenye dhambi sana anaweza kuibuliwa na kutumiwa na Mungu kama apendavyo, leo nataka nitumie kisa cha biblia. SAULI ambaye alifahamika kama mwonevu na...
Eti anajigamba kuwa atawaonesha UKAWA kuwa yeye nini nani? Sisi tulipokuwa tunamuunga mkono si kwa sababu alituhubiri vizuri Ila ni kwakuwa alikuwa mrengo tunaoupenda.
Eti anajigamba Ku
Wa atawaonesha UKAWA kukwa yeye nini nani? Sisi tulipokuwa tunamuunga mkono si kwa sababu alituhubiri vizuri Ila ni kwakuwa alikuwa mrengo tunaoupenda.
Ndugu watanzania, Mimi ni muumini wa mabadiliko, uumini wangu ulianza 1995 katika uchaguzi ambao niliushuhudia japo nikiwa bado sijitambui vizuri. Sikuwa najua mambo vizuri Ila nashukuru Mungu kwa kunipa upeo wa kuichukia ccm na kuamini maendeleo na mabadiko ya kijamii na kiuchumi hayatoki ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.