Recent content by SENGATI

  1. S

    JamiiForums Tanzania Social Media reactions as President Magufuli sacks his Minister

    "Tunakukumbusha kutumia weledi wako mkuu kumshauri Mh. Raisi JP Magufuli, hasa juu ya wajibu wa Mawakili na maadili ya kazi zetu" we unataka kumponza mh. waziri.. raisi ameshasema "mimi ni raisi ninae jiamini siwezi nikapangiwa na hata siku ya kwenda kuchukua fomu nilichukua mwenyewe hakuna mtu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa TLS

    "Hakuna asiyefahamu kuwa hakuna watu muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu kama wanasheria wenye uzalendo uliotukuka na mapenzi mapana kwa nchi yao" kwahiyo unataka kuliambia jukwaa hili tukufu kwamba mwanasheria msomi na mahiri Mh. Lissu hana UZALENDO uliotukuka na hana Mapenzi Mapana kwa nchi yake?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nauliza. Bodi kuniandikia hivi nini maana yake?

    Umepata mkopo.. subiria kupangiwa means test tu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa UDOM, bachelor of education in policy planning and Mgment,naomba ushauri

    Kama huna cha kusaidia bora ukae kimya, huyu atakuwa ameomba msaada apate ABCs ya hiyo course.. siyo form six wote wana uelewa na haya mambo ya kuchagua course na kujua in deeep contents zake na areas of experience. lets be as a family in which we share our weakeness and strengths
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atua Bandarini, ataka maofisa wa ngazi za juu wenye vyeti feki wajisalimishe, TICTS...

    Bandari imepoa utadhani imemwagiwa maji..kumetulia sana haf bado mkuu hajawasili bt waziri anayehusika ameshafika
  6. S

    JamiiForums Tanzania TRA waje JF wajibu maswali kadhaa ya waagizaji magari binafsi.

    hizo calculation nimefanya straight from the calculator with regards to feeded exchange rate n CIF kupata customs value ndo ikanipa hiyo figure. 10.7M ni exchange rate kiaje? au una maanisha ndo Cost Insurance n Freight?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo lipo Bandarini hata mfiche ukweli!!

    mapato yanapanda from previous unpaid or pending transactions... ts da same kama wanavyofanya NHC saiv, yale mabilions ni madeni ya nyuma n not new n fresh collections
  8. S

  9. S

    JamiiForums Tanzania TRA waje JF wajibu maswali kadhaa ya waagizaji magari binafsi.

    mkuu acha sound kodi yako ni milion 18.13, nenda ukalipe kodi hakuna dalili za wizi wa pesa hapo, TRA wanasubiria hela yako wafikie malengo mwezi huu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Kitaalam na Mtaji wa Kulima Mihogo Wilaya ya Mkuranaga

    ni pm tuwasiliane
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Kitaalam na Mtaji wa Kulima Mihogo Wilaya ya Mkuranaga

    Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa. Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na kulisafisha lakini nimekosa mtaji wa kuendelea kununua mbegu, kupanda na mahitaji mengine ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Kitaalamu na mtaji wa Kulima Mihogo Wilaya ya Mkuranga

    Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa. Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na kulisafisha lakini nimekosa mtaji wa kuendelea kununua mbegu, kupanda na mahitaji mengine ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Shule Nzuri Zilizoko DSM kwa Mwanafunzi ANAYE RE-SIT kidato cha 4

    Wanajamvi nina mdogo wangu anataka arisiti mtihani wa kidato cha nne mwakani 2016, ni shule gani nzuri yenye ufaulu mzuri kwa hapa DSM naweza kupata; sifa 1. iwe ya boarding 2. trend nzuri ya ufaulu kidato cha nne 3. iwe mkoa wa DSM 4. ufundishaji mzuri wa masomo ya HISTORY, GEOGRAPHY...
  14. S

    JamiiForums Tanzania "mtihani wa private candidates"

    Wanajamvi nina mdogo wangu anataka arisiti mtihani wa kidato cha nne mwakani 2016, ni shule gani nzuri yenye ufaulu mzuri kwa hapa DSM naweza kupata; sifa 1. iwe ya boarding 2. trend nzuri ya ufaulu kidato cha nne 3. iwe mkoa wa DSM 4. ufundishaji mzuri wa masomo ya HISTORY, GEOGRAPHY, CIVICS...
Back
Top Bottom