Recent content by seneta

  1. S

    David Silinde: Miswada ya Mafuta na Gesi inashinikizwa na MCC ya Marekani

    Mnyika yupo sahihi. Masuala muhimu yanahitaji umakini katika kuyajadili.
  2. S

    Rais Kikwete atoka nje katika kikao cha kumpitisha Ridhiwani

    Ndugu unajua unachoongea? Hii inadhihirisha una ubongo wa kuku. Jakaya Kikwete ndiye M/kiti wa CCM Taifa ndio maana ametoka kuepuka mgongano wa kimaslai. Angekua mtu wa kawaida asingetolewa, lakini bado nje ya kikao ana ushawishi mkubwa ili mtoto wake apitishwe.Na ndio maana amepitishwa. Kwani...
  3. S

    Diwani wa CHADEMA kata ya Kiwira atengwa kwenye vikao vya chama

    Unajidanganya. Zitto ni kijana mwenye tamaa ambaye anaendeshwa na matukio. Nia yake si kuwakomboa wananchi bali anataka kuwa mwenyekiti wa chama. Ni ubinafsi na uchu wa madaraka wa kijinga alikua nao huyu bwana mdogo. Sasa nadhani roho yake itatulia anaenda kuwa mwenyekiti ACT-Tanzania. Nyie Act...
  4. S

    Press conference ya ACT-Tanzania

    Utitiri wa vyama hautasaidia kuleta mabadiliko ya kweli ni ubinafsi na uchu wa madaraka. Wanatafuta njia ya kupata ruzuku. Na huyo Limbu ni mala** wa siasa mara CUF( aligombea ubunge Jimbo la Temeke 2010), akaenda ADC Alikua katibu mkuu na kuzunguka mikoani kukitangaza na leo yupo Act- Tanzania...
  5. S

    Mhariri Mkuu Gazeti la Serikali (Habari Leo) ateuliwa na CCM kuhamia Gazeti la Uhuru

    Ndio ujue gazeti la Habari leo linalinda maslai ya chama cha Mapinduzi (CCM). Mhariri huyo alikua anatumika. Gamba huyo usiogope....
  6. S

    Uzinduzi wa Kampeni za CCM Kalenga: Kuzomewa Kama Kawa Mitaani Dakika hizi!

    CCM ni mavuvuzera tu. Lakini tutafika tunapotaka tukishirikiana na wengine kueneza Virusi vya ukombozi Tanzania nzima ili ukombozi wa watu wetu upatikane. Hongeni sana kamanda William na Amos Mzigo kwa kazi mnayofanya Hananasif. Pamoja Daima kuelekea safari ya matumaini 2014/2015
  7. S

    Kamanda Mawazo ateuliwa kuongoza kampeni kalenga

    Mimba iliyoharibika haina maombolezo. Asante kamanda hakuna kulala mpaka kieleweke.
  8. S

    Ukiona mahali police wanapambana na chadema ujue ccm hawapendwi

    CCM kinakufa, hakina mtaji tena. Vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi ya kuilinda. Lakini ipo siku watanzania wataamka na kuanza kupambana na dola ili kudai haki zao. Rushwa, unyanyasaji, uonevu, kutosikilizwa na upendeleo vimekithiri ndani ya mfumo wa chama cha mapinduzi.
  9. S

    Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

    CCM wanafanya kila namna majimbo yaliyoshikwa na wapinzani wasipeleke maendeleo. Ukifika uchaguzi waseme mliowachagua wamewafanyia nini? Ila wanachofanya makamanda tunakielewa tutawachagua tena 2015. Hakuna kulala mpaka kieleweke
  10. S

    Rai ya Zitto Zuberi Kabwe na muundo wa Muungano

    Zitto unamtumia Dk. Lwaitama kuhalalisha hona yako. Serikali tatu ndio habari ya mjini.
  11. S

    CHADEMA na CUF waungana kipinga nyongeza ya posho bunge la katiba

    Jasho la wanyonge linatumika vibaya. Daa babu yangu Mzee CHIGUMBI kule MKANGAWALO yupo tayari kushiriki kutunga katiba kwa posho ya Tsh10, 000 kwa siku
  12. S

    TUJADILI:Mbunge anastahili posho kwa ajlli ya mafuta,dereva,mwanasheria na msaidizi wake?

    Hakuna watungaji katiba pale. Wapo kimaslai zaidi. Kikwete kajaza Machavichavi kibao.
  13. S

    CHADEMA yamteua Mh Lema kuongoza kampeni Kalenga, huku CCM ikimteua Lusinde

    Kila la kheri kamanda LEMA. Twendeni Kalenga tukaeneze virusi vya ukombozi. PAMOJA TUTASHINDA.
Back
Top Bottom