Recent content by seneni

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanesco mnatuhujumu wakazi wa Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla

    Hawa tanesco wamezidi kila wiki lazima waiguse mwanza na viongozi wako kimya matengenezo gani yasio isha? Washaichukulia mwanza poa sana hawa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kila wiki ni taarifa mpya ya kukata umeme kwa kisingizio cha matengenezo!

    Kila wiki ni taarifa mpya ya kukata umeme kwa kisingizio cha matengenezo! Hivi kweli matengenezo gani yanafanyika kila wiki bila mwisho? Wateja wenu wamechoka na wamekerwa. Biashara zinaathirika, shughuli za wananchi zinasimama, vifaa vinapata changamoto, lakini TANESCO mnaendelea kutoa taarifa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji

    Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na maeneo mengine ya jirani, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwanza, ukosefu wa maji ni shida kubwa ya muda mrefu

    Wapendwa wadau habarini, Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha. Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa maji (Butimba utakua umekamilika) mpaka sasa hakuna kitu. Umeme: mgao wa maji uliokuepo sasa umetoweka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Umeme Si Tatizo Tena Ni Usugu ulio Pitiliza

    Takribani miezi sasa tunasika tatizo la umeme ama mgao au upungufu Kwa neno jingine, sasa tunaomba kujua Hilo tatizo limebadikika maana mfano Mwanza wilay nyamagana hususani nyegezi hili eneo la stendi ni takribani wiki ya pili sasa umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurejeshwa jioni Sana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mgao wa umeme

    Wadau Mimi nina mashaka Sana na suala la mgao/upungufu wa umeme? Hivi Kuna mgao mkali au kuna upungufu mkali? Kama hapa Mwanza Mjini ratiba haileweki usiku au mchana. Nimekaa wilaya ya Magu umeme kila siku kuanzia saa kumi na moja jioni wanakata. Huu Ni mfano hata Mwanza Katikati ya Jiji sehemu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme na maji

    Nakaa chini najiuliza kila Mara haya mambo mawili yatakwisha lini nchini mwetu? Swala la umeme limekua sugu Sana huku Mwanza hazishiki siku mbili lazima mshinde masaa 12 Bila umeme na hii inachukuliwa kama sababu pia maji hayapatikani kabisa. Miaka 60 ya uhuru. Hivi nikwanini huu umeme Kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ni aibu Jiji la Mwanza kuwa na mgao wa maji

    Tatizo la maji jiji la Mwanza! Huweza sadiki na kusadifu kua Mwanza (Nyamagana) inatakribani wiki tatu bila maji! Unaweza shangaa lakini ukweli ni kua jiji la Mwanza linakumbwa na tatizo la kutopatikana kwa maji na hususani hizi wiki tatu na watendaji wakitoa majibu mepesi kwa maswali magumu...
Back
Top Bottom