Recent content by semwe

  1. S

    Flora Mbasha aandaa mkakati kuondoa "Mbasha" katika utambulisho wake

    ni kweli kabisa. ebu acheni majungu. hamna hata uhakika. mbasha nae anajikosha anaona alichofanya hakifai anataka mwenzie na achafuke. Lakini Mungu ndo anaejua ukweli
  2. S

    Maziwa ya kopo yanayofaa kwa mtoto mchanga

    icho kifaa nimepata ila maziwa hayatokivnikikamua. na yakua yamejaa. kifaa chenyewe ni aina y kamera. nimenunua 20000. je ni.sahihi?
  3. S

    Maziwa ya kopo yanayofaa kwa mtoto mchanga

    icho kifa cha kukamulia maziwa nimepata ila nikikamuamaziwa hatoki. na maziwa yanakua yamejaa ila hayatoki. je kunanjia nyingine?
  4. S

    Israel yamzawadia Mwalimu Mwakasege kwa huduma yake

    Hicho kitabu nitakipataje?
  5. S

    Israel yamzawadia Mwalimu Mwakasege kwa huduma yake

    je hicho kitabu nitakipataje?
  6. S

    Maamuzi yangu binafsi juu ya tatizo la ajira, ila si lazima uyafate

    Mimi ninastashada ya kilimo nami jina langu halijatoka nimeamua nkasome uwalimu tu.
  7. S

    Maziwa ya kopo yanayofaa kwa mtoto mchanga

    asante. nami ninamtoto mchanga anamiezi miwili na nusu karibia ninanza kazi ivo vifa vya kukamulia maaziwa nitavipata wapi?nipo arusha. ninataka mwanangu hadi atimize miezi 6 ndipo anze kula vyakula vingine
  8. S

    Kwa wasailiwa wa kilimo, mifugo na uvuvi machi 4, 10-14

    ni kweli jamani. maana tumekaa mtaani hadi tumechoka. tunasubiria ajira. nasi tuanze kupata mishahara. tumechoka kukaa mtaani. nimejaribu kujiajiri. nimeambulia patupu.
  9. S

    Uhmisho wa warumishi 2013/2014 kuna mwenye taarifa maana tamisemi ipo kimya.

    nenda halmashauri kwako ukaulizie. ndenda masijara, watakuambia kama tamisemi wametuma majina.
  10. S

    Ajira kilimo.

    asanteni jamani kwa majibu mazuri. nitaendelea kusubiri
  11. S

    Ajira kilimo.

    Jamani naombeni msaada. mwezi uliopita tuliandika barua za ajira selikalini. Mwenye tetesi, je ni lini majibu yetu. tunasota sana mtaani.
  12. S

    Mwenzenu nalia, naomba msaada!

    huyo mwanaume si mwaminifu. na hapo bado ni uchumba je akisha kukuoa si ndo itakua bara. wewe tulia utapata mwingine ambae ni chaguo lako. tena unakazi.
Back
Top Bottom