Recent content by semtawa

  1. S

    Samia: Mohammed Interprises na WATCO kazi imewashida

    Sasa mkuu wa nchi kaongea hadharani wewe unasema uongo? Nilidhani busara ya akili unge save hii uone kama Mo akikaidi hatanyooshwa? Usicheze na taasisi ya Rais. Akisema hadharani kitu ni ama ujirekebishe haraka au usombwe na mafuriko.
  2. S

    GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Hicho kipande cha video kilicholetwa hata ukitoa rafsiri yako haina sehemu imesema Rais Samia ni bora kuliko Mwalimu Nyerere zaidi ya kwamba katekeleza yale Baba wa Taifa aliyatamani kuyafanya.
  3. S

    GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Mleta hoja una shida sana! Bahati mbaya wengine wamejaa ama wameisikiliza na kuitazama hii video hawakuielewa au wameamua kujipotosha! Mbaya sana! Alichokisema Profesa Kabudi ni; Mhe. Rais katimiza maono ya Baba wa Taifa ambaye aliyatamani kuyafanya. Katoa mfano Bwawa la Nyerere, kuhamia Dodoma...
  4. S

    GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

    Kumbe hamtaki Katiba Mpya? Maana Mhe. Balozi Nchimbi kaeleza mwelekeo wa CCM bado kuna watu wanapinga.
  5. S

    Aren't: Nchimbi be careful

    Kwa mfano, makando kando gani? Usisahau kutuwekea evidence. Asante!
  6. S

    GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

    Safi kabisaaa. Chama kinawezesha wanachama wake kuhudhuria mikutano. Fact ni kwamba CCM ina wanachama. Hao siyo wana CHADEMA, ACT wala CHAUMMA.
  7. S

    GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

    Mitandao ya wapi labda CUBA...HAAHA! Kila ninapopita social media ni Kishindo cha Kijani.
  8. S

    GE2025 Mahakama, ACT na CCM wanaenda kujisafisha kitaifa na kimataifa

    Wala kaka. Hujanielewa! Sorry. Usiku mwema.
  9. S

    GE2025 Mahakama, ACT na CCM wanaenda kujisafisha kitaifa na kimataifa

    Nature ya kesi# ndiyo point ndugu!
  10. S

    GE2025 Mahakama, ACT na CCM wanaenda kujisafisha kitaifa na kimataifa

    Sijibu tusi la sifa za mtu mhusika. Endelea na sifa yako hii. Mimi situkani hata mtu anayeandika kwa level hii ya darasa la kwanza! Kwa hiyo nimekumark sitajibu tena comment yako yoyote. Wasalimie darasa la kwanza wenzako kule Facebook.
  11. S

    GE2025 Mahakama, ACT na CCM wanaenda kujisafisha kitaifa na kimataifa

    Hizi fikra za aina hii huwa zinanipa shaka sana! Iko hivi; Mpina amewekewa pingamizi na mwanachama nwenzake. So CCM isihusishwe. 2. Hivi si sisi tunataka mahakama iwe huru au isiwe huru? Mahakama ikiamua Msajili, INEC walikosea tunahusishaje CCM? 3. Ikitokea Mpina kashindwa kesi tutasema...
  12. S

    GE2025 Mahakama, ACT na CCM wanaenda kujisafisha kitaifa na kimataifa

    Kuna vitu vingine sijui Watanzania tunataka nini? Kwa nature ya kesi kama hii Ulitaka iendeshwe vipi? Kampeni zimeanza tayari jalada likae hadi wiki ijayo? Kesi ikicheleweshwa issue ikiwahi issue!
  13. S

    GE2025 Uzinduzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Kawe, Agosti 28, 2025

    Tutafuatilia kutoka ughaibuni huku. Kila lakher.
Back
Top Bottom