Recent content by semnyozufrank

  1. semnyozufrank

    Bei ya mpunga Kwa mkoa wako ipoje?

    Tanga Korogwe kwa sasa ni sh. 120000 kwa gunia la debe 6
  2. semnyozufrank

    Waliowadhulumu wafanyakazi waliokuwa wameajiriwa na Shule ya Wazazi Hedaru mbona CCM inawaogopa?

    Ni jambo la fedheha Tena aibu kwa Chama cha Mapinduzi kuwaachia viongozi wa Jumuiya ya wazazi chini ya uongozi wa Abdallah Bulembo, Sefu Hamisi John Singo kuuza shule ya wazazi ya Hedaru sekondari na kudhulumu wafanyakazi haki zao. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi tunaomba uingilie kati jambo...
  3. semnyozufrank

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Raisi Samia yapasa kuwahoji waliouza shule ya wazazi ya Hedaru na kudhulumu wafanyakazi stahili zao. Mwaka 2016 Abdalah Bulembo Sefu Khamis Mohamed na John Singo waliouza shule ya Jumuiya ya wazazi ya Hedaru na bila aibu Wala utu wakawadhulumu wafanyakazi haki zao. Kila wafanyakazi hao maskini...
  4. semnyozufrank

    Hizi "Pentecostal Churches" ndiyo chanzo cha Ukristo kupotea duniani

    Timu ya Tanzania ni sawa na kichwa Cha mwendazimu
  5. semnyozufrank

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Ndiyo heshimu Kila mtu kama unavyo heshimu taulo lako kwa sababu sehemu utakayofutia tako lako Leo pengine kesho ndipo utakapofutia uso wako
  6. semnyozufrank

    Tuambiane kuhusu biashara ya Car Wash

    Nataka nianzishe biashara ya mbao, je kwa mtaji wa shilingi milioni 10 unatosha kuanzia? Aliye na uzoefu anijulishe.
Back
Top Bottom