Recent content by Semniga

  1. Semniga

    JamiiForums Tanzania Fredwaa anapotea, ajitathimini upya, pesa si kila kitu

    Kafunikwa vibaya na wenzake yeye alitakiwa atafute kipindu cha kufanya pekee yake ila pake amefunikwa mbali tu
  2. Semniga

    JamiiForums Tanzania Hata baada ya miaka miwili, umiss upigwe marufuku

    Ufutwe tu
  3. Semniga

    JamiiForums Tanzania Basi la Kampuni ya Luwinzo, T853 AUA lapata ajali Morogoro

    Ni lile Yutong, ok. Mm nilijua karibuni kiumeni cuz naipenda sana ila vp halijaua ktk hiyo ajali
  4. Semniga

    JamiiForums Tanzania Basi la Kampuni ya Luwinzo, T853 AUA lapata ajali Morogoro

    Daaah, lilitoka jana njombe linakimbia linafahamika kama "Karibu Kiumeni"
  5. Semniga

    JamiiForums Tanzania Naweza Kumjibu Muhongo

    Huyo Muhongo asituzuge bado anajikanyaga maswala ya msingi yote hajajibu
  6. Semniga

    JamiiForums Tanzania Tupige kelele sana lakini ufisadi, rushwa, unafiki vilianza wakati wa Nyerere

    Weka vielelezo kwa sehemu ya 1
  7. Semniga

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Jamani mimi maisha magumu na mimi waje wanigaie ten percent nipige kimya nani ananamba za Chenge mzee wa vijisent ama mzee yeyote wa Escrow nipige kimya nisishadadie maana shida mpaka mguuni wao wanagawa tu
  8. Semniga

    JamiiForums Tanzania Maswali kumi kwa David Kafulila kuhusu IPTL

    Mtoa mada lengo lako kubwa hasa nini mbona sijakuelewa vizuri Au unataka kusema aliyoyatoa Kafulila hayana ukweli wakati yameenea nchini huu mwaka wa pili kabla ya Kafulila hajayaibua tena au yamewagusa hadi vipapa wenu mjini
  9. Semniga

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Zitto balaa

    Sio wafilisiwe tu wanyongwe kabisa watu wanawalisha sumu wenzao kuwazoofisha na kuwauwa nao wakikamatwa kitanzi hadharani tu
  10. Semniga

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wa Richmond na IPTL sasa yalia na Mwigulu Nchemba

    Asitupake mafuta kwa mgongo wa chupa Mangapi kayafumbia macho leo anajifanya kujisafisha kwa wananchi atueleze ufisadi wa katiba waloufanya nao tueafanye nini akiwa yeye ni mmoja wapo waloongoza kuchakachua katiba ya wananchi
Back
Top Bottom