Recent content by semngano one

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ahsante Kinana, nimeamini wewe ni kichwa

    sasa unashangaa nini,wakati shetani mwenyewe kila cku anaongelea makanisani,mickitin kila sehemu ccm ni aduni shetani mwenye anaafazali
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa afunika mkutano wa hamasa wa kujiandikisha BVR, Momba -Mbeya

    ni muda wakuja kutupa darasa na sisi watu wa mkoa wa tanga kwa nini watu wa mbeya unawapendelea hivyo kila siku huko ina maana sisi watu wa tanga mmeamua kututoa sadaka kwa ccm?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ifahamu ACT-Tanzania/Wazalendo

    nyie ndo wanafki na wadidimizani wa ndoto za kuhitaji mabadiliko ya kiiutawala katika nchi hii walafi na wapenda vyeo hamna jpy
  4. S

    JamiiForums Tanzania David Kafulila atunukiwa Tuzo kwa hoja ya Escrow

    hongera sana broh kwa kazi nzuri kuna watu waliitangazia dunia kwamba wao ndo walioingusha serikal ya ccm kwa hoja hii
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    hivi kama chama cha chadema ni cha kikanda cha kidini cha kikabila kuna umuhimu gani wa kujiunga na chama aina hii ukawa wakat unaanzishwa hivyo vyama vyote vilikuwepo na vilikataa kujiunga na ukawa na baazi yao wakawaita ukawa wasakatonge
  6. S

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo waambulia watu watano kwenye mkutano Muheza

    big up sana msingwa na wabondei wote wa muheza tihamwe mdodo mdodo nee mbui
  7. S

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo waambulia watu watano kwenye mkutano Muheza

    my home town muheza vp wabondei wameinuka cku hizi maana mmh!huko wanakwambia ccm ne tate ne mmaa ni shidaa!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji UDOM

Back
Top Bottom