Recent content by Semkwacha

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Maneno Mbunda atoweka siku ya 7 sasa

    Taarifa imeshatolewa na DPP kwamba hajapotea Source: Mwananchi Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Aliyeshindwa kusoma, kisa wazazi wake hawana uwezo, Rais amwambia; ‘’Kawaambie Walime

    Hapa hakuna aliyesimangwa, tunazungumza katika hali ya kawaida tu ndugu, ni kweli katika mtaa/kijiji kizima alikosa msaada?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Aliyeshindwa kusoma, kisa wazazi wake hawana uwezo, Rais amwambia; ‘’Kawaambie Walime

    Hivyo ndio vitu vya kumuomba mh. Rais? Wazazi wote wapo hai wameshindwa kumtafutia uniforms na stationeries?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Aliyeshindwa kusoma, kisa wazazi wake hawana uwezo, Rais amwambia; ‘’Kawaambie Walime

    Ah! Kawaida mtoto akimaliza darasa la 7 kama amefaulu huchaguliwa kuendelea na masomo katika shule zetu za serikali ambapo hakuna ada wala michango katika awamu hii. Huyu binti yeye hakuchaguliwa? Ina maana amefeli! Kipindi hiki watoto wanapendelewa sana wanachaguliwa mpaka wenye wastani wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mimba kukosa dhamana Arumeru

    Hii Arumeru ipo nchi gani vile?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika kaacha Bunge la Bajeti ameambatana na Rais, tunapeleka wapi mihimili hii?

    Sisi sote ni viumbe wa Mwenyezi Mungu, hao viongozi wetu wamechaguliwa wapate kutuongoza, ila kama hujatumwa na Mungu kuwaongoza watu wake basi ujue utakua kituko mpaka kwa wajukuu mpaka utakapotubu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la January Makamba na Pesa za NSSF: Awataka maadui zake kumkabili moja kwa moja

    Waswahili husema: 'Ndugu wakigombana, chukua jembe kalime, wakishapatana chukua kapu kavune'
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika apiga marufuku Wabunge kujirecord wakiwa wanachangia hoja Bungeni

    Kumbe ni muumini wa T.A.G? Uwezekano wa kuiona mbingu kwa wanasiasa ni mdogo sana.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Tanzania Job Y. Ndugai atazungumza na waandishi wa habari kesho tarehe 14.04.2019

    Sawa, tuombe Mungu kesho ifike. Ni muhimu (kwa wanaoamini kwamba Mungu yupo) kutanguliza maneno ya kumtumaini Mungu pale tunapoitaja kesho maana hatuna hakika nini kinakuja japo kwa sekunde moja ijayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

    Kama watanzania wakiwa na uzalendo ule wa Prof. Assad, basi nchi hii itapiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kyela: Diwani wa CCM ashikiliwa polisi kwa Mauaji

    Uhalifu unapofanywa na mtu binafsi kwa utashi wake huo ni mzigo wake mtu huyo. Tafadhali msihusianishe Ujinga wa Mtu mmoja 'an individual' na chama. Kama ni kweli amefanya hivyo basi ni utashi wake wala hajatumwa na chama Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabalozi wa Tanzania katika nchi za Brazil na Comoro kurejeshwa nyumbani kwa ubadhirifu wa kukodi magari

    Hayo magari wanayakodi wakienda wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waitara atoa agizo ma Afisa elimu waanze kuwa na vipindi darasani.

    Kabla ya kuzungumza tushirikishe viungo vyetu vya fahamu! Afisa Elimu ni Mkuu wa Idara, anasimamia idara iliyo chini yake, huo muda wa kuingia darasani anautoa wapi au ni kutafuta ugomvi na watu? Hao wakuu wa shule hasa zile shule kubwa hawapati muda wa kuingia class kutokana na wingi wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema afungiwa Mikutano 3 ya Bunge

    Msimamo wa wabunge wote wa CHADEMA ni mmoja. Kama vipi wangeitwa wote kwa wakati mmoja au spika angetoa adhabu ya jumla ili kuokoa muda. Watolewe wote halafu wabaki chama tawala wenyewe wajadili bajeti yao, hii pia itatusaidia kupima iwapo tutakua na wabunge kutoka chama tawala pekee bunge...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Radi yabomoa ukuta wa nyumba na kuua mtu mmoja

    Huko ndiko kwa Wafipa Jamaa hawana mchezo kanda hiyo wanajua jinsi ya kumaliza kesi zao wao hawahitaji polisi wala mahakama. Makombora yao huyatuma na kwa kawaida hayawezi kwenda off target. Poleni wafiwa ila nawasihi wandugu haya maisha sote ni wapitaji, tusifanyiane ubaya wala tusilipe...
Back
Top Bottom