Recent content by seminarian

  1. S

    Nimeamua rasmi kufunga mwaka na kuachana na maamuzi mabaya niliyofanya ya kusoma bachelor of science in chemistry sasa nimeamua nisome bpharm

    Baada ya kipindi kirefu Cha kuwa njia panda nimeamua nifunge mwaka na kubadili kozi.
  2. S

    Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  3. S

    Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
  4. S

    Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  5. S

    Ni vipi naweza kuhama kutoka hospitali ya mkoa kwenda maabara ya Mkemia Mkuu, NIMR au TBS?

    Kuhama kada inakuaje? Jinsi ya kuhama kutoka hospitali ya mkoa kwenda maabara ya Mkemia Mkuu au NIMR au TBS au Chief Pharmacist
  6. S

    Je kuna uwezekano wa mtu kutoka ajira ya wizara ya afya na kwenda maabara ya mkemia mkuu baada ya kubadilisha fani

    Naweza kuhama kutoka wizara ya afya kwenda maabara ya mkemia mkuu.
  7. S

    Short course ya Industrial Pharmacy Teaching hapa Tanzania utai-apply kweli?

    Nimeon tangazo la short course ya industrial pharmacy je hapa tz inasoko?
  8. S

    Kuchukua digrii tofauti na diploma uliyosoma kuna athari gani?

    Wadau nimesoma diploma ya pharmacy now niko chemistry degree najiuliza nikiajiriwa kwa diploma hii degree kada nitabadilishaje? Mshahara utapandaje ushauri please.
  9. S

    Kuchukua digrii tofauti na diploma uliyosoma kuna athari gani?

    Wadau nimesom diploma ya pharmacy now niko chemistry degree najiuliza nikiajiriwa kwa diploma hii degree kada nitabadilishaje? Mshahara utapandaje ushauri please.
  10. S

    Special thread kwa ajili ya wakemia waliopo kazini ,wanaosoma na wanaotafuta kazi tupeane connection

    Uzi maalum wa wakemia karibuni
  11. S

    Chemists, Quality Control Chemist, Lab Technician Chemists who are on job and who are looking for job, welcome for connection

    Uzi maalum wa Wakemia wasionaajira, wanaotafuta kazi na waajira hata wanafunzi wakemia karibuni tupeane connection.
  12. S

    Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Bonge la koz kivip waliomaliz wako kitaa wanafany boashara
Back
Top Bottom