Ninachojua Sitta siyo lolote na hasa ikizingatiwa anataka sifa kutoka kwa chama chake ili wampitishe kugombea urais! ni wazi kwamba atasikiliza chama chake,halafu huwa hana msimamo binafsi na ni mpenda sifa sana, kumbuka alivyozima mjadala wa Richmond hadi leo maazimio hayakutekelezwa!
Nafasi...
Ninachojua Sitta siyo lolote na hasa ikizingatiwa anataka sifa kutoka kwa chama chake ili wampitishe kugombea urais! ni wazi kwamba atasikiliza chama chake,halafu huwa hana msimamo binafsi na ni mpenda sifa sana, kumbuka alivyozima mjadala wa Richmond hadi leo maazimio hayakutekelezwa!
Nafasi...
wewe chezea akili pana ya KITUSI ni sawa na mwisrael! kama KIKWETE wenu amekalia mchiliku na usalama ni kunywa pombe na wanawake!Rwanda wako kikazi chini ya kamanda wao KAGAME wanafikiria wananchi wao na wako tayari kuwafia sio hapa usalama unajua mikutano ya CHADEMA tu,madini yetu yanaibia...
Huo ndio uwezo wa Kikwete na ccm wote ulipofikia! muhimu ni kuwangoa tu! kwa ujumla huwezi kutawala nchi twiga wanasafirshwa hai,rais anakutana na wezi wa EPA unadanganya eti pesa zimerudishwa na wamekukabidhi kumbe uongo tu,huwezi kusaini mkataba tata wa tangu Richmund-Dowans-Symbioni...
Huyu Kigwangala sio mtanzania nakumbuka alipowekewa pingamizi akasaidiwa na familia ya kikwete kwa vile ndiye dk wa familia ya kikwete! sasa anataka mchakato huu uharibike kwani hata kwa akili ya kawaida yeye anazaungumzia sera za ccm wakati hii ni katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na...
Serikali tatu ni lazima maana rasimu yenyewe imetayarishwa kwa ajili ya serikali tatu! hamna jinsi ya kubadili labda ije rasimu nyingine maana ukuishe badili maudhui yaliyo ukurasa wa kwanza kila vitu vingi lazima vibadilike angalia idadi na muundo wa wabunge,madaraka ya raisi wa nchi washirika...
Kafulila acha kupotosha! huo ndio ukweli watu wa Kigoma ni waroho wa madaraka na uwezo wa kuongoza hawana! hivi kweli kwa akili yako Zitto anaweza aongoze chama kama Mbowe,au wewe ulipokuwa unataka kuongoza kweli wewe na Mbatia mnalingana! tatizo la watu wa Kigoma ni wabishi hata kwa jambo...
Hiyo ni kweli asimia 100 ,mwingine kamanda anayetegemewa kwa usawishi ni kijana mmoja anaitwa FOCUS LAURENT,huyu jamaa akihutubia utafikiri Mandela rejea kongamano la vijana siku ya uhuru ukumbi wa landmark hotel!
Huu ni ukweli mtupu! ila Mkoa wa Tabora hawaeleweki, Rukwa bila nguvu ya uchawi hawaelewi chochote! kwa KIGOMA umepatia 100% kasora hujasema kidogo watu wa pemba nao wanakaribiana na KIGOMA, sifa nyingine ya KIGOMA kila walipo lazima kutokee vurugu hata misikitini,kwenye kwaya na makanisani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.