Recent content by SELFISH

  1. S

    Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Bashite [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
  2. S

    Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Sio kosa lako utakua bado unaishi kwa shemeji yako. au ulikuja mjini kwa sababu ya shule.
  3. S

    TANESCO kwanini mnatulaza giza?

    Ulitumia mtandao gani kiongozi?
  4. S

    TANESCO kwanini mnatulaza giza?

    Mlitoa taarifa kwamba mtambo wa Luku unafanyiwa maboresho, kuanzia jpili usiku mpaka j3 saa tatu asubuhi, Lakini chakushangaza mpaka leo tar 22 juma tano bado luku haipatikani! tunaomba mtoe taarifa ambazo niza kweli. mpaka jana mtaani kwetu nyumba nyingi zilikua giza! hamuoni...
  5. S

    Aliyebuni mfumo wa namba za Magari alikosea

    Ushauri, namba ziwe vile vile ila kila mkoa plate namba yake iwe na rangi yake, ile mikoa ambayo watu hawaipendi ushuru wa kuingiza gari uwe chini sana ili kurahisisha maendeleo mikoani, na gari likija mjini liwe na kibali maalum.
  6. S

    Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    Pesa ya mafundi tu haitapungua 150Ml je iliyobaki itaweza kujenga kweli?
  7. S

    Picha: Matumizi ya bilioni 10 kwa UDSM kama yanavyoonekana kwa sasa

    Mafundi pekee kwa jengo zima haitapungua 150ml. je iliyobaki inaweza kujenga?
  8. S

    Picha: Matumizi ya bilioni 10 kwa UDSM kama yanavyoonekana kwa sasa

    Nijibu swali langu moja tu, 10Bil ukigawanya kwa 20 kila jengo ni 500mil, Naomba kadiria gharama za ujenzi kwa jengo moja nafikiri haitapungua 150mil. je iliyo baki itajenga kweli?
  9. S

    Namba za simu za Mikoa na mameneja wa Wilaya (116) wa TANESCO kwa kila Mkoa

    Tanesco ni shida mimi nipo Negero Tanga njia ya kutokea Handeni kwenda turiani, nguzo na Transfoma ziliwekwa tangu mwaka wa juzi 2015, lakini hawataki kuwasha umeme.
  10. S

    Watanzania tulimuonea sana Mh. Dr. Jakaya Kikwete

    Hujitambui, Au utakua unaishi kwa shemeji au utakua unamiaka zaidi ya 40 bado unaishi nyumbani.
  11. S

    Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

    Ikiingia imeingia tu, kuna m2 alipewa dawa za kunywa na nyingine aweke kwenye papuchi, lakini iliingia na akajifungua.
  12. S

    TOYOTA CAMI 4SALE

    Kipindi hicho namba B inatoka ulinunua ilikua haizidi 7mil nakutumia koote huko unauza 7.5. hauko sirias mkuu.
  13. S

    Msaada jinsi ya kumuona Rais mstaafu Jakaya kikwete

    Dah! mheshimiwa siku hizi anaitwa Limited Edition?
  14. S

    Msaada jinsi ya kumuona Rais mstaafu Jakaya kikwete

    Habari wadau mimi nipo Dar na familia yangu nauliza natawezaje kwenda kumuona rais mstaafu jakaya mrisho kikwete, Kama yupo humu anomba anijibu kama ombi langu atalikubali. ahsante.
  15. S

    Tunalipishwa Tsh 200 kupanda Daraja la Ubungo (UDART), ili uweze kuvuka ng'ambo ya Barabara

    Nimeshuka kwenye basi la haraka kituo cha Ubungo terminal napita darajani nivuke barabara naona jamaa wananidai pesa. Nikawabia mimi sisafiri navuka barabara hawataki. Ikabidi nitudi nyuma,je mh Makonda kupita kwenye hili daraja tunalipia?
Back
Top Bottom