Recent content by Selesius

  1. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa umma

    Kuna yeyote aliyeapply maaombi kupitia huu mfumo wa ESS?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa umma

    Mbona sijasikia sehemu ya mwisho kama maombi yakikubaliwa unapata barua
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yeyote kaitwa kwenye usaili na African Court on Human and People's Rights?

    Sijaomba lakini ni muda mrefu msije kushangaa watu wameshaitwa na kufanya interview kimya kimya huko na nyinyi hamfahamu ingekuwa vizuri mngepiga simu ofisini kwao kuliko kuwa na subira ya muda mrefu isiyokuwa na manufaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

    Ndio inabd iwe hvyo vile vyeti vya academics
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi 1097 za kazi kutoka TRA

    Unaweza kusoma hicho kitabu mwishowe ukatoka kapa kwny paper maana Tax ina mambo mengi mno ila hicho kitabu kitakupa mwanga kidogo wa kujua tax ila sio 100%
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wale mnaoendaga Interview utumishi nisaidieni haka kaswali

    Ukigoogle utapata majibu
Back
Top Bottom