Recent content by selengia

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

    ni kweli Wakristo haiwahusu,tatizo hapa ni nani ataigharamia hii mahakama? je,ni serikali ambayo haina dini ikagharamie mahakama ya kidini?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

    <br /> <br />
  3. S

    JamiiForums Tanzania Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    hivi Tanzania ina haja ya kusheherekea miaka hamsani ya uhuru wakati taifa liko katika msiba wa matatizo lukuki? nadhani hizo hela za kuandalia hizo sheree zingetumika kununulia majenereta ya kupunguza mgao wa hili giza!!!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sabco toka kyela-dar lapata ajari maeneo ya tanangozi

    poleni wote mlopatwa na ajali hii, Mungu awape nguvu mpate kupona mapema!
  5. S

    JamiiForums Tanzania hi,

    Nimefika nyumbani,am happy kufika hapa!
Back
Top Bottom