Sabco toka kyela-dar lapata ajari maeneo ya tanangozi

Lepapalongo

Member
Jan 28, 2009
92
11
Kwa masikitiko wana jf leo majira ya saa sita kamili mchana basi namba T 264 ATH likitokea kyela kwenda dar lapata ajari maeno ya tanangozi Iringa baada ya tairi ya mbele kupasuka na kuacha njia kisha kupinguka kwa kulalia ubavuni.Tumeshuhudia tukiwa katika basi la hekima idadi ya wajeruhi haijafahamika na kama imeua ila watu wavunjika viuno picha nafanya jinsi ya kuapload.

jamani Mkeka kwa Mkwawa umetulia sana, Hawa madereva uchwara watatumaliza

Lazima hili tatizo la tairi za mbele kuchomoka lifanyowe kazi. This is too much,

Duh last week baba mtu(hood) leo sabco(said mtoto wa hood) Mungu waponye majeruhi woote.

Mkuu, hawa jamaa yaani HOOD na SABCO (baba na mwana) nafikiri wameamua kutoa kafara damu na viungo vya watanzania. Hebu tuweke orodha ya magari yao yalivyowadhuru watz.
1. January
2. February
3. March
4. April
5. May
6. June

7. July HOOD limeua kwa kuwaunguza kwa moto watz waliokuwa ndani ya basi

8. August HOOD na SABCO yote kwa kupinduka

Duh last week baba mtu(hood) leo sabco(said mtoto wa hood) Mungu waponye majeruhi woote.

Mkuu, hawa jamaa yaani HOOD na SABCO (baba na mwana) nafikiri wameamua kutoa kafara damu na viungo vya watanzania. Hebu tuweke orodha ya magari yao yalivyowadhuru watz.
1. January
2. February
3. March
4. April
5. May
6. June

7. July HOOD limeua kwa kuwaunguza kwa moto watz waliokuwa ndani ya basi

8. August HOOD na SABCO yote kwa kupinduka

Kwa masikitiko wana jf leo majira ya saa sita kamili mchana basi namba T 264 ATH likitokea kyela kwenda dar lapata ajari maeno ya tanangozi Iringa baada ya tairi ya mbele kupasuka na kuacha njia kisha kupinguka kwa kulalia ubavuni.Tumeshuhudia tukiwa katika basi la hekima idadi ya wajeruhi haijafahamika na kama imeua ila watu wavunjika viuno picha nafanya jinsi ya kuapload.

mmiliki wa bus hilo,ni MTOTO WA HOOD,,,,,anaitwa Said Hood

Kwa masikitiko wana jf leo majira ya saa sita kamili mchana basi namba T 264 ATH likitokea kyela kwenda dar lapata ajari maeno ya tanangozi Iringa baada ya tairi ya mbele kupasuka na kuacha njia kisha kupinguka kwa kulalia ubavuni.Tumeshuhudia tukiwa katika basi la hekima idadi ya wajeruhi haijafahamika na kama imeua ila watu wavunjika viuno picha nafanya jinsi ya kuapload.

mmiliki wa bus hilo,ni MTOTO WA HOOD,,,,,anaitwa Said Hood,nadhan ameamua kushindana na baba yake kwa mabas yao kupata ajali kwa kipind hiki

Back
Top Bottom