Recent content by Selemani

  1. S

    GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

    Hii kandarasi imefika mwisho sasa. Zumbe hafanyi siasa tena. Mmalize hii thread muongelee vibwengo wenu wengine. Na kama unadhani huyo Ng'ombe sijui Mbuzi sio posso na muvi basi una akili za kushikiwa. Taifa lenu lote masikini. Sio Bumbuli peke yake Kenge nyie
  2. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Kwa leo inatosha. Fake ID mnajua nyie vijana, sisi tuko humu ndani wakati hujaota hata mavuzi. 😁😁 Fungua thread nyingine ya Kipara tutaendelea.
  3. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Usimumshe asiyelala. You think you are important hadi unajidillusion kwamba Waziri wa Foreign Affairs wa Jamhuri ya Tanganyika atakuja kubishana na wewe humu 😂 Sasa tajiriiiii roho haikuchomi vipi wakati asubuhi mchana jioni TikTok we unamuongelea mtu mmoja tena kimbea na kipashkuna. Mi...
  4. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Maharage alikuwa boss wa DStv Africa. Sio bongo
  5. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Bwana TikTok umekaa ukajiaminisha kabisa mimi Waziri wa mambo ya nje. 😂😂. Kweli akili yako fupi, hata nyakati husomi. Halafu you don't think it's homosekshuo behavior kuongelea mwanaume mwenzako anamkaza nani, chalii jifunze etiquette kidogo 😭 You are obsessed na JM. Pole boss, roho...
  6. S

    Tutahakisha Makamba anawajibika kwa madudu aliyofanya TANESCO akiwa hukohuko Mambo ya Nje

    Labda kwa nini usianze na kututajia MAKOSA yake haswa. Maana naona kama hisia tu zinakuongoza. Kila siku mnafungua thread za Makamba, kumbe ndio mnampaisha vilaza nyie.
  7. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Wamefeli kukutia mimba au? 😅😅
  8. S

    Makamba na Maharage hawapo, sasa tuone kama matatizo ndani ya TANESCO yatafika mwisho

    Kuongeza grid Kigoma na Migodini ni kuharibu? Kuunganisha wateja laki tano kwa mwaka ni kuharibu? TANESCO kutengeneza faida mwaka jana ni kuharibu. Mshirika wenu kwa mara Ya kwanza at least unaendeshwa kisasa nyie mmeleta wanajeshi 🤣🤣
  9. S

    Makamba na Maharage hawapo, sasa tuone kama matatizo ndani ya TANESCO yatafika mwisho

    Mkuu samahani labda utuelezee hata ufisadi mmoja tu uliofanyika
  10. S

    Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika

    Hii ni hadithi ya kutunga, ikiwa na lengo maalumu la kuwachafua watajwa hapo juu kwa faida ya mchafuaji,. Hujaweka kielelezo hata kimoja cha au chanzo cha kuaminika cha habari zako. Siku moja watu watasue Jamii Forum kama platform for allowing idiots to post this nonsense. 😂😂. Liable
  11. S

    Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

    Kwa utashi huu wa kufikiria Tim Cook CEO wa Apple inabidi awe fundi simu kwanza. Amueni kama taifa, Tanesco liendeshwe kibiashara, then u need hao bankers etc. Kama Tanesco iendeshwe kama SUKITA then weka hao maInjinia wako. Thinking ya Mama Abdul makes sense. Make Tanesco Profesional...
  12. S

    Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

    Asingekuwepo Inchaji, watu tungemwagishana radhi. Alhamdulilah, Mungu sio TikTok2020 😁
  13. S

    Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

    Utafungua uzi kuhusu JM mpaka uchoke, ndio kwanza sasa hivi ni country top top Diplomat Bwa Mdogo. Na bado.
Back
Top Bottom