Recent content by selemani yustus chitanda

  1. selemani yustus chitanda

    Natafuta kazi

    Picha yake au
  2. selemani yustus chitanda

    Natafuta kazi

    Na mtaalam wa ku designe card mbalimbali kwa shughuli za stationery ana vyeti alivyosomea course hiyo ya computer 0788997980
  3. selemani yustus chitanda

    Natafuta kazi

    Iwe kwenye biashara ofisini au kiwandani yuko tayari kwani amekuwa mtaalam kwa matumizi ya computer hususani recordings nk 0714400414
  4. selemani yustus chitanda

    Natafuta kazi

    Kwa anayehitaji mdada wa reception anaejua computer vizuri na mambo ya recordings amesomea biashara yupo hapa dar au popote penye hitaji km hilo yupo tyr kwa 0788997980- 0714400414 na amekuwa operatio manager ktk petrol stations kwa zaidi ya miaka mitatu
  5. selemani yustus chitanda

    Natafuta kazi yoyote ya kibarua, kazi ya jikoni au hata kusaidia fundi ujenzi

    Hata kama kuwa pump attendant yuko tayari kwakuwa ana uzoefu mkubwa kwa kutuma order Ku supervise mauzo ya mafuta na hususani shughuli mzima za petrol station ana uzoefu wa miaka zaidi ya mitano kwa KAZI hiyo na hata ikiwa mambo ya recordings au receptionist yulo tayari wadau...
  6. selemani yustus chitanda

    Msaada: Natafuta kazi yeyote

    Jamani wadau narudi tena kwenu yule ndugu ambae alikuwa ni operation manager katika kusimamia vituo vitatu vya mafuta bado anahitaji msaada wa KAZI hiyo yuko dar kwa sasa no zake no 0714400414-0788997980 ni mtaalamu wa computer pia amesomea biashara msaada wenu wadau
  7. selemani yustus chitanda

    Natafuta kazi stationary

    Ni mtaalam kwa mambo ya recordings commerce hata reception na yuko vizuri kwa kutumia computer anapatikana0714400414 at any time just check with her
  8. selemani yustus chitanda

    Natafuta kazi stationary

    Kuna ambaye huko serious kwa KAZI hizo na amesomea veta computer,commerce, na amekuwa akisimamia vituo vya mafuta( petrol stations) zaidi ya mpaka mitano anapatikana kwa 0714400414 0788997980 yuko dar muda wowote huko tayari
  9. selemani yustus chitanda

    NSSF kuchelewesha malipo bila sababu za msingi mnatutesa

    Ni kweli hata mimi Nina ndg yangu kaachishwa kazi toka mwaka 2015 na akichangia vizuri tu lakini mpaka Leo hajalipwa na ameambiwa mpaka January 2018 inaumiza saana hata mwanawe kafukuzwa shule kiss kukosa malipo yake vema sasa wawe na ubinadamu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. selemani yustus chitanda

    Wasaka ajira

    Kwa heshima na taadhima wadau naja tena kumuombea KAZI iwe ya msaidizi wa ofisi,petrol station, recording, mwenye ujuzi wa computer kwa simu no 0788997980 au stationery yuko tayari amesomea biashara na ana uzoefu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. selemani yustus chitanda

    Natafuta dada wa stationery ukonga madafu

    Humu no sehemu ya kusaidiana,kushauriana,nk na kumsaidia MTU inategemea na vile unavyoguswa na tatizo la MTU bila kushurutishwa hayo we yako Sent using Jamii Forums mobile app
  12. selemani yustus chitanda

    Natafuta dada wa stationery ukonga madafu

    Ana cheti cha form four,computer grade ll,na commerce pia Sent using Jamii Forums mobile app
  13. selemani yustus chitanda

    Natafuta dada wa stationery ukonga madafu

    Ameona Uzi huu kaniomba nikufahamishe km utakuwa tayari MPE contacts zako akupigie taf amesomea veta na ana uzoefu huo kwa miaka zaidi ya mitatu anasema Sent using Jamii Forums mobile app
  14. selemani yustus chitanda

    Natafuta dada wa stationery ukonga madafu

    Yule ndg ndo KAZI alizosomea hizo ambae anatafuta kwa kupitia no zake0714400414 yuko tayari anaomba no zako akupigie ila hajajiunga na JF ndo mana anaomba umpe no akupigie Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom