Recent content by Selemani See

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasara za kutoku-Sex kwa mda mrefu

    Nishaacha huo mchezo kitambo sana.
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasara za kutoku-Sex kwa mda mrefu

    Mwaka mmmoja nyuma wakati nipo shule nilikua napiga ny*to. Lakini thanks God niliacha baada ya kuona nafsi yangu inanilaumu. For now nina stress za hela na kusoma sana. Hamu zikija nakumbuka kiapo nilicho apa kwamba nikirudia basi Mungu asiruhusu ndoto zangu zifanikiwe. Hivyo nafungulia mziki...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasara za kutoku-Sex kwa mda mrefu

    Kiongozi, mi sijaona hayo madhara yanayoelezwa. Labda kama sijioni. Na suala la kuchekacheka nimesha experience kwa baadhi ya wanawake. Kama yatakuja huko mbeleni basi niombeeni, mana sasa hivi ndo mapenzi hayapo kichwani baada ya kugundua wadada zetu hawa mpaka uwe na hela ndo wanaweza tulia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Kweli kiongozi, nimekupata. Sema kuna sababu ya kusema siwezi kazi zenye kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu. Ila mbali na hapo kazi yoyote nafanya kiongozi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Naelewa ndugu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Pamoja ndugu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Kwa ushauri niluoupata humu jf nimeamua kukomaa na life. Maana mlinishauri nitafute hela kwanza
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Mimi ni kijana mwenye miaka 25, nipo, Dar Es Salaam. Nisiwapotezee muda, naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa; Ninaweza fanya kazi yotote, haswa ambayo sio ya kutumia nguvu sana kulingana na afya yangu. Nina uwezo wa kuongea na watu vizuri (kiingereza na kiswahili). Nina elimu ya...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimewekwa kikaangoni

    🙏🙏
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimewekwa kikaangoni

    Nashukuru sana. Hili nishaliona
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya, ananipenda au hanipendi?

    2023 si ndo hii?
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimewekwa kikaangoni

    Kweli mkuu. Asante
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimewekwa kikaangoni

    24
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimewekwa kikaangoni

    😁
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimewekwa kikaangoni

    Idea nzuri. Binafsi najitegemea ila yeye bado mtoto wa mama
Back
Top Bottom