Recent content by Seleman Mwampyate

  1. S

    Nchi inahitaji mkakati wa kimaendeleo utaotuongoza kama taifa

    Hii nchi inahitaji maono yatayoishi kama muongozo wa kila mtu atayekuja kuliongoza taifa haihitaji mtu. Akija mtu mzuri akiondoka ndo basi akija mbaya ndo hivyo lazima uwepo msingi wakutuongoza wote. Malengo makuu ya taifa yapewe kipaumbele labda hii miaka mitano kitekelezwe hiki ndipo...
  2. S

    Wazo langu

    Siasa Ndo Taaluma Pekee Ambayo Hata Ukiwa Mwizi, Ukiwa Muongo Bado Utaitwa Muheshimiwa, Unaendelea Kuheshimika.
  3. S

    SoC04 Tanzania Ijayo ni Tanzania ambayo inaamini Binadamu wote ni sawa

    Tanzania Tuitakayo Miaka 25 Ijayo Ni Tanzania Ambayo Inaamini Binadamu Wote Ni Sawa Hakuna Aliye Bora Kuliko Mwenzie Kwasababu Ya Cheo, Jina, Mali Na Mengineyo. Maana Kumekuwa Na Utaratibu Wa Mazoea Katika Hili Taifa Nikimaanisha Matabaka Ya Watu Fulani Ambao Wao Keki Ya Taifa Ni Kwaajili Ya...
  4. S

    We dig, plant and harvest

    Hayo Mapori Wanayagawa Bure? Vamia Pori Kama Hujaambiwa Ni Hifadhi Ya Serikali.
  5. S

    Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao hatutakuwa watumwa

    Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao (kununua magari ya kifahari, ziara za gharama nje ya nchi) wakapigania taifa kwa dhati hatutakuwa watumwa wa misaada ya kiteknolojia, fedha, na mengineyo.
  6. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni lazima kwanza itoke kwenye mifumo tegemezi ambayo bado inatufanya tuwe watumwa kifedha na kifikra

    1. Tanzania Tuitakayo Ni Lazima Kwanza Itoke Kwenye Mifumo Tegemezi Ambayo Bado Inatufanya Tuwe Watumwa Kifedha, Kifikira Na Mpaka Kutufanya Kuwa Wabinafsi; Mfano; Mambo Ya Kukopa Fedha Kwenye Benki Ya Dunia Na Nchi Zilizoendelea Ambayo Mikopo Yenyewe Haina Afya Katika Maendeleo Ya Taifa Na...
Back
Top Bottom