Recent content by seleman msumeno

  1. seleman msumeno

    Kweli wasanii wamekubali WBC itawale muziki wa Tanzania peke yao?

    Acha watawale cz hakuna namna nyingine zaidi ya kujielewa na kujituma katika kazi zao
  2. seleman msumeno

    Kaniacha ila kila mara ananitumia texts na kunipigia simu

    Sio mbaya kama anakujulia hali x~wake
  3. seleman msumeno

    Mwakyembe: Utake usitake, Diamond ni balozi wa Tanzania kwa kila kitu

    Tunashukuru diamond kwa kutuwakilisha kimataifa hata hatutaki uwakilishi wako
  4. seleman msumeno

    Dar Ndio Imekuwa hatari hivi?

    Asante kwa taarifa
  5. seleman msumeno

    Msaada kuhusu HELSB na TCU

    Kwan huwez kupostpone bila ya kuwa na matokeo hata ya semista na je kama umekosa ada ya kufanya registration
  6. seleman msumeno

    Deadline ya kufanya kuripoti na kufanya registration vyuoni

    Mkuu tatizo ni kupata boom wakati hujafanya registration na hyo je hyo registration utaweza kufanya bila fee inayohitajika
  7. seleman msumeno

    Deadline ya kufanya kuripoti na kufanya registration vyuoni

    Ni kweli kiongozi kwasababu kwa wakati huu vyuma vimekaza kwelikweli watu bado wanatafuta fees
  8. seleman msumeno

    Deadline ya kufanya kuripoti na kufanya registration vyuoni

    Inabidi usubiri mwakani kwasababu hakuna namna nyingine kiongozi
  9. seleman msumeno

    Deadline ya kufanya kuripoti na kufanya registration vyuoni

    Nisamehe kwa hili mkuu ila hicho chuo cha embe dodo univesity na makonda memorial academy kwa kweli sivijui ebu tupe info zake
  10. seleman msumeno

    Deadline ya kufanya kuripoti na kufanya registration vyuoni

    "Shame on you" jaribu serious basi kiongozi kuna watu watapata info zitakazo wasaidia sana kupitia ww
  11. seleman msumeno

    Deadline ya kufanya kuripoti na kufanya registration vyuoni

    Ndo chuo gani hiki mkuu na kipo wapi katika nchi hii
Back
Top Bottom