Recent content by selebob

  1. selebob

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Msaada Wakuu Kila Nikitaka Kuli-install Inakuja Error iyo
  2. selebob

    Wale tunaotumia mitambo ya solar ya Mobisol tukutane hapa

    Mkuu kwani ww ulitaka kutumia nini na nini
  3. selebob

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Guys Nahitaji na mimi nicheze hilo Game ila Pc yangu Specification yake ni Processor:- Celeron 2.16Ghz RAM:- 2Gb je ntaweza kulicheza kutokana na uwezo wa pc yangu
  4. selebob

    Anaeweza Ku-flash simu

    Tatizo firmware yake mtandaoni haipo
  5. selebob

    Anaeweza Ku-flash simu

    ilikua inaishia kwenye nembo ya camon ila baadae ikawa haiwaki kabisa lakini nikichomeka usb wire kwenye computer, pc ina detect kitu kilicho chomekwa kwenye pc
  6. selebob

    Anaeweza Ku-flash simu

    hapana ni tofauti c5 inatumia lain mbili ila c5s ni lain moja mkuu
  7. selebob

    Anaeweza Ku-flash simu

    mlandizi
  8. selebob

    Anaeweza Ku-flash simu

    Habari zenu wapendwa Nina TECNO C5s imezima ghafla kwa anaeweza kuflash ajitokeze
  9. selebob

    MSAADA WA FIRMWARE YA TECNO C5S

    Habari zenu wapendwa, Husika na Kichwa Cha Habari Simu Yangu TECNO C5S imestuck kwenye nembo ya Camon Mwenye Firmware ya simu hii anisaidie SHUKURANI
  10. selebob

    Hii game nimeipenda sana nani atakuwa na cheats zake

    Download kupitia uapkpro.com Utapata games za android zilizokuwa na unlimited coin
  11. selebob

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Ahsanteni jamani. Nimefanikiwa
  12. selebob

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Habari zenu Guys, Mimi ni mpenzi wa Movies. Naombeni link Ya kudownlod movies mpya HD
  13. selebob

    MSAADA WA LINK YA KUDOWNLOAD SOFTWARE ZA SATELITE RECEIVER

    Habari guys, poleni na majukumu Nilikua naomba link ya kudownload software za satelite receiver
  14. selebob

    MSAADA WA KUAPATA DRIVERS YA MODEM YA VODAFONE

    Guys naombeni msaada wa kupata drivers ya modem yangu ya vodafone k3772-z. Ni mali ya ZTE cooperation
Back
Top Bottom