Accacia walishatangaza kuufunga mgodi wa Buzwagi ifikapo mwezi december mwaka huu na walitangaza kabla hata makinikia hayajazuiliwa baada ya mgodi huo kuwa umekwisha dhahabu yote chini ya ardhi.Hicho kiwanja cha ndege walichokabidhi ni mojawapo ya taratibu za kuufunga mgodi na kutukabidhi...
Serikali irudi katika mashule yote na ikague magari yanayotumika kubeba wanafunzi kwani mashule mengi yanatumia magari yaliyochakaa sana kiasi kwamba inawezekana ndiyo ikawa hata ndiyo chanzo cha ajali iliyochukua watoto wetu.
Nashukuru kwa hili NMB,kingine ambacho ni kero kubwa hapa Kahama ni foleni kuwa ndefu wakati madirisha yanayotoa huduma ni mawili tu,mawili mengine ni kwa ajili ya huduma ya fast track na bulk.
Na kuna madirisha matatu yapoyapo tu hayatoi huduma yoyote.Kwa nini na hayo nayo hayatoi huduma au ni...
Tatizo wabunge tunaochagua ni wale wanaongalia shibe zao na si uzalendo na maslahi ya nchi,na ndo maana Makonda alipotangaza vita ya unga wakaja juu kama povu la coca cola.Badala wakaisimamie serikali wao wanazimamia itikadi za vyama.Change we need
Mzee wewe ulikimbia nchini,ukaenda kula raha kwa wazungu maneno-maneno kuhusu nchi yetu? We baki na raha zako huko canada na sisi tubaki nchini kwetu tutajuana wenyewe humu humu.Kaa kimya.
Sidhani kama umefanya utafiti wa kutosha toka kwa wananchi wa jimbo la Ubungo na kupata hicho unachokisema kuwa kachokwa.Bado mapema sana kutathmini utendaji wa Kubenea.Hebu tuwape muda pia ushirikiano wabunge wetu na tuwekeke siasa za vyama pembeni ili kujenga taifa bora.
Ndugu yangu nadhani we we huyaelewi madai ya sisi wafanyabiashara na Minja.Tatizo si EFD,tatizo ni mfumo aliowekwa ktk kukokotoa kodi mfumo ambao unaumiza mtaji wa biashara.Naamini Rais JPM ataliweka sawa na utaona kama kuna mfanyabiashara atakataa kutumia EFD.
Siyo vibaya mtu kutoa hisia zake juu mambo yanavyokwenda,na hii itasaidia kuipa changamoto serikali katika kuendesha shughuli zake ili kufanikisha maisha bora kwa wananchi wake.Uko sawa mtoa Mada.
Masheikh zangu,hebu achaneni na siasa.Ninyi bakini ndani ya LAAILAHAILALLAH na upiga debe wa siasa wekeni pembeni.Mkiona siasa inafaa,dini tuachieni waumini.
Masheikh zangu,hebu achaneni na siasa.Ninyi bakini ndani ya LAAILAHAILALLAH na upiga debe wa siasa wekeni pembeni.Mkiona siasa inafaa,dini tuachieni waumini.
Viongozi wetu, huu si wakati muafaka wa hayo mnayofanya kama kweli mnataka kuiondoa ccm.Vinginevyo tutawaelewa na ninyi ni wale wale mnaovaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni chui.Hayo fanyeni baada ya uchaguzi,itakuwa jambo la busara kwa viongozi kama ninyi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.