Katika Wizara zenye matatizo hii ya Nundu ni mzigo mkubwa,hyu jamaa namfahamu ni mzuri ila ataharibiwa na mfumo wa Chama,amepokea idara zote zenye matatizo,Reli ovyo,Bandari ovyo,ATCL ndio usiseme af mbaya walomzunguka pia wanamzunguka ki-ukweli so ana wakati mgumu sn af ikizingatiwa ni mgeni...