Habari wanajamii
Mbele yenu naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyewahi kuhamisha umiliki (transfer) wa ardhi, hati za mfumo mpya kupitia e- ardhi. Maana mimi nimefanya kila kitu mpaka kupata tax clearance lkn mfumo ndio unanikwamisha kuendelea na transfer. Nimefika jiji majibu ni yaleyale...
Hongereni kwa mfumo mzuri, lakin mpaka sasa sielewi ni utaratibu gani mmeweka kwa watu wanaohitaji kufanya transfer (wenye hati za mfumo) maana tumekwama njiani. kama kuna utaratibu wakufuata basi tunaomba mtueleze wananch wenu
Habari zenu
Natafuta room ya kupanga maeneo ya bunju karibu na stendi au mapinga karibu na shule ya baobab
Mwenye kufahamu naomba anisaidie au aniunganishe na dalal wa maeneo hayo asanteni
Umenena vyema kaka,
N muda sahh wa vyuo vya bongo kuwa na urafiki wa karbu na waajiri na waajiri wasisite kutoa maoni yao nn kifanyike kuimalisha elimu unayotolewa na s kubagua tunamtaka yupi & hatumtaki yupi bila sababu za msingi
Habari zenu wanaJF
Kuna hili swala naomba kuuliza Kwann baadhi ya taasisi znabagua candidates wa kuomba kazi?
mfano unakuta post ya Kaz inasema priority n watu wa chuo fulan, au ukimfuata hr / director anakuambia siajiri chuo fulan
Hii inamaana gani ? Ni kwamba hawawaamini NACTE na TCU au wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.