kusema kwamba wafanya biashara ya dawa za kulevya miongoni mwao ni wabunge na hawatapona na kuacha kuwataja kwa kigezo kuwa hana ushahidi mpaka sasa lakini kalihutubia bunge ila hana ushahidi huu ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za bunge na kushusha hadhi za wabunge.Hapa tunamfananisha lukuvi na...
kusema kwamba wafanya biashara ya za kulevya miongoni mwao ni wabunge na hatapona na kuacha kuwataja kwa kigezo kuwa hana ushahidi mpaka sasa lakini kalihutubia bunge lakini hana ushahidi huu ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za bunge na kushusha hadhi za wabunge.Hapa tunamfananisha lukuvi na nyuki...
siamini hayo mnayo yasema cz hamja fanya reseach na msomi unajua (no reseach no rigth to say)
Ni kweli ccm bado haijafanya vizuri ktk uongoz wake lakin hoja mnayoijenga kuwa ndo mwisho wa uongoz wake 2015 sio wako watu wanojua kusimamia nchi kama lowassa ambaye hata wapinzani wanakubali...
kweli kwa kauli hiyo waziri analidhalilisha taifa ni bora aresign uongoz hatuoni faida ya kupewa nyadhifa kubwa kama hiyo aliyopewa na mh;rais huu ni woga aige maamuz ya lowassa. ni bora aachie ngaz tutakosa uhusiano mzuri wa kimataifa na nch za nche.:A S 2152:
Ni hoja pia wapo vijana wazuri kama january makamba na jery silaa lakini tunajua wazee dawa ni bora tumuachie mzee wa nywele nyeupe asimamie taifa hili la vijana.
NATURAL JUSTICE INA VIPENGELE VITATU TU. CHA KWANZA RIGHT TO BE HEARD, RIGHT TO KNOW REASON TO MAKE DECISION AND RIGTH TO APPEAL. kwa maana hiyo basi mwakyembe alimnyima lowassa haki ya kusikilizwa, haki ya kujua sababu ili afanye maamuz na haki ya ya rufaa.Je mwakyembe alifanya kazi hiyo...
Kauli ambazo sintazisahau lowasa alisema akimnukuu mwalimu . Mwalimu alisema nchi hii ina amani watanzania wanajua na dunia inajua. PINDI AKIWA ANAJIUZULU akasema kamati teule ya mwakyembe imesafiri mpaka marekani lakini mtu ambaye wanamtuhumu na kumsema kwa kirefu mle hawajawahi kumhoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.