Pole sana lakini kama na ww uliwahi kuchangiwa ujue una deni sababu waliokuchangia pia walikuwa na majukumu lakini wakajitoa kama hujawahi kuomba mchango kwa yeyote kausha tu na jitahidi ukiwa na jambo lako pambana mwenyewe vinginevyo michango itakuhusu sana ukiona raha kupokea na kutoa ujue
Usijali nilidhani alinimaanisha mm sababu nishawahi kutoa mawili matatu juu ya SA nishaishi sana hapo cape town nikianza kigumu location Phillipi baadae Kensington na bellivile, kuna haja sasa ya kuchange Id ili kuzuia mgongano
Hizo alizeti zinatakiwa package za kg ngapi ngapi na usafirishaji ukoje pia naomba kuuliza vitu vya culture kama viatu na vikapu vinaweza kupata soko huko?
Jamani ni kwa neema ya Mungu tu sisi na watoto wetu kuendelea kuwa hai kwa maji ya bomba tunayotumia hapa Moro nipo mazimbu hapa maji yanatoka machafu yana wadudu wana vichwa vikubwa na kimkia kidogo hivi ukifungua bomba tu harufu Kali mbaya ukioga haya maji unajikuna na unatoka mapele hiyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.