Recent content by Seek Till Find

  1. Seek Till Find

    Tufahamisheni ya Morogoro Mjini na Viunga vyake; Utamaduni, Biashara na Fursa.

    Hahah dah kumbe bado kuna shida ya maji hadi leo??
  2. Seek Till Find

    Mabasi ya Mwanza hadi Mbeya yanatumia njia ya Dom-Iringa pekee?

    Kwa hio mkuu wako kazini kuboresha barabara, kupelekea mabasi makubwa kuanza kupita mwz to mbeya?
  3. Seek Till Find

    Mabasi ya Mwanza hadi Mbeya yanatumia njia ya Dom-Iringa pekee?

    Sure, Mwz to Mby, hiyo ni special connection inatakiwa iwe na shortcut yake kulahisisha activities, lakin mtu unafika mwz saa tisa usiku..kweli????
  4. Seek Till Find

    Tuambiane kuhusu biashara ya Car Wash

    Wakuu, katika harakati nyingine ya kujiajiri. Kuna hii idea ya car wash. Sio vibaya kama tukipatiana details zote zinazozunguka hii biashara. You know, stuffs kama vifaa, location ya biashara, expectaions za faida, changamoto, hasara, etc Karibuni.
  5. Seek Till Find

    Kodi ya 1m - 1.5m kwa mwezi, napata frem ya aina gani Kariakoo?

    Wakuu, Katika soko la kariakoo, kama kichwa kinavyojieleza, naweza kupata fremu ya aina gani, katika eneo gani, etc kwa budget ya 1m to 1.5m kwa mwezi. Karibuni. Wakuu.
  6. Seek Till Find

    Biashara ya jumla ya bidhaa za matumizi ya kila siku

    Boss mi Nafikiria mkoa wowote penye fursa ya uendaji wa kasi na mzunguko mkubwa
  7. Seek Till Find

    Biashara ya jumla ya bidhaa za matumizi ya kila siku

    Wakuu nina 25million nje ya kodi ya pango, je itatosha kwa ajili ya hii biashara? Je ni idea nzuri ya kunipatia kipato kikubwa kwa sasa na baadae? Maeneo ya aina gani napaswa kuweka aina hii ya biashara ili niweze kupata mzunguko mzuri zaidi? Karibuni wakuu
  8. Seek Till Find

    USHAURI: Nafikiria kufanya biashara ya mikoba Kariakoo

    Hello Wadau, Nafikiria kudeal na handbags za wadada aina tofauti sokoni kariakoo. Kutokana na kodi kuwa kubwa za fremu nahitaji mauzo kuwa makubwa, je kwa hii idea iko sawa au itanichomesha mahindi? Mitaa ipi ya Kariakoo inafaa kwa ajili ya biashara ya mikoba? Na mengine mengi mtakayo...
  9. Seek Till Find

    Nafikiria kuhamia Mbeya, Nisaidieni info za mji ule

    So mzunguko mkubwa wa pesa ni mbeya au tunduma
Back
Top Bottom