Recent content by secyb

  1. S

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Kidunia na kwa knowledge ya kawaida umejitahidi kudadafua lakini kiuhalisia bado kuna mambo mengi sana yanayoonesha na kuprove uwepo wa Mungu hujayagusia, Jaribu kutuliza akili yako wewe binafsi na kufikiria deeply utagundua ndani yako kuna hofu na hiyo hofu si ya kitu kingine chochote bali ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Working Permit: Waziri Mhagama zimekushinda?

    kwakweli hili tatizo ni kubwa sana hapa nchini wageni wapo wanazurura tuu hadi huko vijijini ukichnguza what they are doing is hopeless.....nafikiri ifike wakati kila mmoja wetu awe na ujasiri wa kuripoti haya tunato yaona mtu ana permit ya Technical engineer huko what what halafu they make it...
  3. S

    JamiiForums Tanzania TCRA yarudisha ajira za watanzania (Tigo) kutoka india (GNOC)

    Kuna mambo yamenifurahisha sana, nikiwa katika kazi zangu za field huku porini mikoani huku nilizoea kutumwa kazi na watanzania wenzangu kama kuna matatizo ya network mahali fulani, huku mnamo mwezi wa tatu, 2016 nikaanza kupigiwa simu na local number kutoka India huku tukipewa taarifa kuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, Serekali inajua uonevu na unyonyaji huu wa NOKIA-VODA kwa wahandisi hawa?

    JE SERIKALI INAJUA UONEVU NA UNYONYAJI HUU WA NOKIA– VODACOM KWA WAHANDISI HAWA? KWAKO WAZIRI MWENYE DHAMANA YA VIJANA NA AJIRA: Mheshimiwa waziri pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, Awali ya yote tungependa kufahamu ikiwa wizara yako inafahamu kuhusiana na uonevu na unyonyaji unaoendeshwa na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania POLISI KUTUMWA HUAWEI-TIGO PROJECT KUHOJI WAFANYAKAZI

    POLICE KUTUMWA HUAWEI-TIGO PROJECT KUHOJI WAFANYAKAZI Ni baada tu ya kuripoti au kutoa taarifa humu mtandaoni ya kuhusu wageni wanaofanya kazi bila vibali na kweli baada ya taarifa uhamiaji walikuja ofisini na kukutana na ukweli mtupu na mpaka sasa passport za baadhi yao zikiwa uhamiaji na...
Back
Top Bottom