POLISI KUTUMWA HUAWEI-TIGO PROJECT KUHOJI WAFANYAKAZI

secyb

Member
Nov 4, 2012
5
10
POLICE KUTUMWA HUAWEI-TIGO PROJECT KUHOJI WAFANYAKAZI

Ni baada tu ya kuripoti au kutoa taarifa humu mtandaoni ya kuhusu wageni wanaofanya kazi bila vibali na kweli baada ya taarifa uhamiaji walikuja ofisini na kukutana na ukweli mtupu na mpaka sasa passport za baadhi yao zikiwa uhamiaji na wengine kurudishwa nchini kwao, lakini cha kushangaza ni kuwa jana tarehe 03/02/2016 police walikuja ofisini na kutaka kuhoji baadhi ya wafanyakazi na Chen Xuli HR wetu ambaye asiyefaa kuwepo hapo akiwaongoza watu wa kuwahoji juu ya aliyetoa taarifa za kampuni mtandaoni, tunavyojua kila mtanzania ana haki ya kupokea taarifa na kutoa taarifa pale panapokuwa panakiukwa sheria, nakumbuka tangazo la uhamiaji lilitolewa na kusema raia wema warusaidie kuripoti wageni wasiokuwa na vibali na pia hao raia wema walijitokeza na kuripoti kitu cha ukweli kabisa sasa basi hawa askari police wametumwa na nani kututishia ofisin na kukosa amani ?

Ni nani aliyekuwa pamoja na hawa wachina wa huawei? Mteja wake TIGO ameyaruhusu haya mpaka askari police wanaingia ndani kaa sababu zipi?

Tunataka mamlaka husika iingilie kati katika hili ili mazingira yetu kama watanzania yawe ya amani. Pia TIGO ihojiwe kwa idara yake ya ulinzi kwa kuruhusu askari police amabao ni njaa kuja kututishia mazingira ya kazi kwa kutoa taarifa mitandaoni ya ukweli, kwani wanaogopa nini je kuna biashara nyingine wanayoifanya mbali na waliyoombea leseni mpaka wanaogopa siri za kampuni kutolewa nje?
 
Hao na waliowatuma ni masalia wachache wanaotafutwa mchana na usiku ili nchi hii ikombolewe kabisa kutoka mikononi kwa wevi na wanyang'anyi.
 
Usikute kuna mswahili mwenzenu anawafanyia fitna hapo ofisini,anamtafuta whistle-blower amle kichwa.
 
yani watz hawana mana kwenye mshiko
ila hawajakujua kma wewe ndo umetoa news huku kwa wadau
 
POLICE KUTUMWA HUAWEI-TIGO PROJECT KUHOJI WAFANYAKAZI

Ni baada tu ya kuripoti au kutoa taarifa humu mtandaoni ya kuhusu wageni wanaofanya kazi bila vibali na kweli baada ya taarifa uhamiaji walikuja ofisini na kukutana na ukweli mtupu na mpaka sasa passport za baadhi yao zikiwa uhamiaji na wengine kurudishwa nchini kwao, lakini cha kushangaza ni kuwa jana tarehe 03/02/2016 police walikuja ofisini na kutaka kuhoji baadhi ya wafanyakazi na Chen Xuli HR wetu ambaye asiyefaa kuwepo hapo akiwaongoza watu wa kuwahoji juu ya aliyetoa taarifa za kampuni mtandaoni, tunavyojua kila mtanzania ana haki ya kupokea taarifa na kutoa taarifa pale panapokuwa panakiukwa sheria, nakumbuka tangazo la uhamiaji lilitolewa na kusema raia wema warusaidie kuripoti wageni wasiokuwa na vibali na pia hao raia wema walijitokeza na kuripoti kitu cha ukweli kabisa sasa basi hawa askari police wametumwa na nani kututishia ofisin na kukosa amani ?

Ni nani aliyekuwa pamoja na hawa wachina wa huawei? Mteja wake TIGO ameyaruhusu haya mpaka askari police wanaingia ndani kaa sababu zipi?

Tunataka mamlaka husika iingilie kati katika hili ili mazingira yetu kama watanzania yawe ya amani. Pia TIGO ihojiwe kwa idara yake ya ulinzi kwa kuruhusu askari police amabao ni njaa kuja kututishia mazingira ya kazi kwa kutoa taarifa mitandaoni ya ukweli, kwani wanaogopa nini je kuna biashara nyingine wanayoifanya mbali na waliyoombea leseni mpaka wanaogopa siri za kampuni kutolewa nje?
pole kaka,...hawajajua kma wewe ndo umetoa news humu??
 
Back
Top Bottom