Recent content by Security Officer

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Mkuu naomba namba yako tuwasiliane.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Mkuu naomba namba yako.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Boss naomba kazi hiyo nipo tayari elimu form six na ujuzi wa computer ninao.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba connection au ushauri wa mchongo wa kufanya baada ya saa za kazi

    Mkuu naomba mchongo huo na mm PM kwangu inagoma natumia web,0625541187 whatsapp npo dar.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka Dar ipoje?

    Sasa kaka upo mtwara kwani hamulimi ufuta huko?mtwara na lindi ndio mikoa yenye fursa nyingi sana za biashara kwani ndio mikoa inayokuwa na misimu mitatu ya mazao ya biashara,kuna msimu wa ufuta ambao unaanza mwezi wa tano,kuna msimu wa korosho ambao unaanza mwezi wa tisa na kuna msimu wa mbaazi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka Dar ipoje?

    Mkuu nachoongea kipo serious sana aje huku lindi au aende hata mtwara maeneo wanayolima ufuta ndio utaona vijana huku wanavyotoboa maisha kwa wale wapambanaji lakini ila spoon feeding utaona kila kitu tabu tu dunia hii hauwezi kuwekeza kwenye biashara kama sio mtu wa kurisk katika upambanaji ni...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka Dar ipoje?

    Mkuu tunauzia kwenye vyama vya ushirika(ghalani) kila baada ya wiki moja kama umepeleka mzigo wako wa tani moja au mbili etc hela zako zinaingia bank kwa maelezo zaidi kama upo tayari nijuze mkuu nikupe full details huku watoto wadogo wanashika hela tu sema starehe ndio zinawaharibu ila wale...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka Dar ipoje?

    Njoo tununue ufuta lindi huku utaweka kama milioni nne tu hautokuja kujuta biashara ya mazao ni utajiri tosha amini hiki nachokwambia huku watu tunatoboa kwa ajili ya ufuta tu unanunua buku au buku jero kwa wakulima ww unakuja kuuza kuanzia 3500 mpaka 4200 kwa kilo.
Back
Top Bottom